Ona mwenyewe

Umma uliyopotea !! ..Na hupoteza vizazi vyao walobarikiwa " Samahani hivo kuna watu hawathamini neema ya watoto!! Mungu tusamehe kwa ujahili wetu.AMIN
 
Demu anamacho mazuri huyu ikishapa ile kitu roho inapenda
 
pombe sio maji, da hwa watoto full kupombeka
 
naomba iwe photoshop , maana ubongo na moyo hauhimili mambo hayo , vitapasuka
 
Yaani ningemjua mwenye mtoto hakya nani ningemfunga hata kama ni wake
 
Huyo mzaziwe akiri yake haina akili mbulukenge

Siyo akili yake haina akili huyo hana akili kabisa yaani anachezea watoto wakati kunawatu wanashinda hospital wakitafuta watoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…