Ona mambo ya Magufuli nyanda za juu

Ona mambo ya Magufuli nyanda za juu

Bia yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
6,921
Reaction score
8,321
20201011_113836.jpg

Rais Magufuli ameshindikana kwa kutuletea maendeleo Watanzania.

Magufuli tano tena
 
WTF??
yaaani picha iko edited na hata ilo bango lina onesha wino wa kijan hauja kolea una sema ni Nyanda za juu afu ww ndo una jiita think tank ya Ccm

utakua una tumia Masaburi kufikiria wewe
Ukiangalia hilo bango la kushoto linaonyesha kuna maandishi yamefutwa au yamezibwa/yamesilibwa na kuna alama ya wino wa njano kwa chini kidogo unaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WTF??
yaaani picha iko edited na hata ilo bango lina onesha wino wa kijan hauja kolea una sema ni Nyanda za juu afu ww ndo una jiita think tank ya Ccm

utakua una tumia Masaburi kufikiria wewe
20201011_113730.jpg
 
Mbuzi kabisa wewe.. unatumia jina la rais kusambaza uongo kwa kujifanya unampigia chapua kumbe hamna kitu!
Acha ubazazi we mbung'o
 
Kwa nini @jamiiforum Wanaruhusu upuuzi kama huu?? Umetukosea sana watu wa nyanda za juu.
 
View attachment 1596651

Rais Magufuli ameshindikana kwa kutuletea maendeleo Watanzania.

Magufuli tano tena
Nadhani Hajui Kuwa Umoja, Upendo, Mshikamano Upo Kwasababu Ya Uoga Wetu Watanzania, Mwaka Ambao Tutaondoa Nidhamu Ya Uoga Na Kuwachagua Viongozi Tunaowataka Na Kuhakikisha Tunawasimamia Wanapatikana Hayo Maneno Tunayaweka Pembeni Kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods mmelala ?

Futeni huu upuuzi haraka na mumpige ban huyu jamaa kwa kusambaza uongo.
 
Watanzania sisi sio waoga ila ni wazalendo

Nenda Twitter ya Robert uone anavyoshambuliwa na Watanzania

Nadhani robert anajuta kuingizwa cha kike na lissu

Back
Top Bottom