Ona Macho Yalivyowatoka!!

kakolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
406
Reaction score
354
Jamani binti yangu mdogo kasikia tangazo la ulevi noma sasa akaniuliza eti baba wale kina dada wanaosema ona macho yalivyowatoka kama mbwa anasubiri mizoga, walikuwa wanasubiri tulewe a wapi hawapati kitu hapa. Swali kwani walitaka wapate kitu gani? NIlimwambia subiri niende kazini nikirudi nikumbushe, sasa akinikumbusha nimjibu nini hapa nipo kwenye foleni kuelekea nyumbani.
 
mwambie walitaka kuwaibia hela zao....
 
Mwambie wale akina dada kuna kitu waliiba kwa hiyo wakileweshwa wangetoa huku wakichekelea
 
Mwambie ukweli wala usimfiche kitu chochote.
Alafu usiwe unauliza swali wakati uko kwenye foleni unaenda nyumbani. Wewe ulitegemea watu wako jf wanasubiri swali lako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…