ona kilichomkuta kijana uyu baada ya kukwapua pochi Dar live wakati mzee yusuph akifanya yake

Duh hivi hizi mambo bado zipo tu home? Watu wanalalamika maisha magumu cheko hapo wanavyokata kilaji full kutumia,miss home
 
watu wanakula raha kama kawa ata kama maisha magumu,wanatoa stress,watumie pesa wale bata
 
....mbona wanawake wengi wanapenda kuchezewa kwa nyuma,nadhani hii ndo chanzo cha wanaume kupenda kinyume na maumbile...looh ! dunia yetu maskini,....!!
 
Kapuya style hio
 
....mbona wanawake wengi wanapenda kuchezewa kwa nyuma,nadhani hii ndo chanzo cha wanaume kupenda kinyume na maumbile...looh ! dunia yetu maskini,....!!

nahisi ndio chanzo cha doggy pia
 
....mbona wanawake wengi wanapenda kuchezewa kwa nyuma,nadhani hii ndo chanzo cha wanaume kupenda kinyume na maumbile...looh ! dunia yetu maskini,....!!

ukitaka burudani kama hii uwe umetumia maji ya dhahabu lol, sababu haijalishi unayecheza naye ana age gani.
 
huku kudansi kipuuzi mbona kumezidi ? nadhani na ulimbukeni pia unachangia
 
...hahaaahaaa mkuu hayo maji yanasababisha watu wana kapuyana live.....

ndio raha ya club unajiachia upendavyo ila usicheze style hii disco malapa, hukawii kuchezea kichapo toka kwa watoto wa mtaani kwa kucheza na demu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…