Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
TTB INITIATIVE TO PROMOTE COUNTRY'S TOURIST ATTRACTIONS BECOMES SUCESSFUL
Tanzania Tourist Boards initiative to promote the countrys tourist attractions abroad bore fruits recently after the winners of a raffle organized by TTB and CNN promised to Tanzanias tourist potential in their countries.
George Tengeneza, TTB Public Information Officer told the Guardian that the lottery which was jointly conducted by TTB and CNN aimed to promoting destination Tanzania in the United States and was open for every Us citizen to participate. Sandra Humpt from US and her son Jeffrey who were nominated as CNNs Ultimate Safaris sweepstakes winner have said they would help to promote Tanzanian's Tourism attractions.
According to Tengeneza the lottery which was jointly conducted by TTB aand CNN was carried out in 2008 in the US.
He said among the 38,749 entries Sandra Haupt was nominated the overall winner and she and her son came to Tanzania last month to visit the country's tourist attractions.
They stayed in Tanzania for seven days in which they visited Serengeti National Park, Ngorongoro crater. Tengeneza said Humpt promised to promote the country's tourist attractions back home.
MY TAKE:
KWANZA ANGALIA KICHWA CHA HABARI KINAVYO POTOSHA MSOMAJI.
PILI, MAFANIKIO YANAYOZUNGUMZIWA HAPA MIMI SIYAONI, KATIKA NCHI NZIMA YA MAREKANI NI WATU 38,749 NDIYO WALIOSHIRIKI NA SI AJABU KATIKA HAO WASHIRIKI HAKUNA HATA MMOJA AMABAYE ATAKUJA TANZANIA.
VILE VILE HAWAJAZUNGUMZIA ZOEZI LOTE HILI LIMEGHARIMU KIASI GANI.
MJ
Mj
Ukitaka kujua TTB chunguza habari za MD Peter Mweguo jinsi alivyo teuliwa Peter ni Bomu la kutupwa alipata nafasi hiyo baada ya cledo kuachia ngazi ambaye naye alikuwa boumu akiwa na vyeti bandia vya chuo kikuu kimoja huko Marekani.Alipata nafasi KLM wakamshitukia haraka sana Cledo alikuwa analidwa na mmoja wa wakurugenzi wa idara nyeti marehemu Eviduos walingozi mtu wakwao Sumbawanga, Hivyo Cledo alipoondoka alimwacha Peter ili kulinda maslahi.
kwa leo naishia hapa naimani wapo wengine pia wanaojua kuwa shirika hilo halina uongozi.
TTB INITIATIVE TO PROMOTE COUNTRY'S TOURIST ATTRACTIONS BECOMES SUCESSFUL
Tanzania Tourist Boards initiative to promote the countrys tourist attractions abroad
MY TAKE:
KWANZA ANGALIA KICHWA CHA HABARI KINAVYO POTOSHA MSOMAJI.
PILI, MAFANIKIO YANAYOZUNGUMZIWA HAPA MIMI SIYAONI, KATIKA NCHI NZIMA YA MAREKANI NI WATU 38,749 NDIYO WALIOSHIRIKI NA SI AJABU KATIKA HAO WASHIRIKI HAKUNA HATA MMOJA AMABAYE ATAKUJA TANZANIA.
VILE VILE HAWAJAZUNGUMZIA ZOEZI LOTE HILI LIMEGHARIMU KIASI GANI.
MJ
Hawa TTB kwa kweli wanahitaji damu mpya maana inaelekea wako bado enzi za mwaka 47!
Ukiangalia kazi wanayofanya ku promote Utalii wetu - zaidi naona ni wao wenyewe kufanya ziara na kufurahia zaidi.Hao viongozi kutwa kuhudhuria maonyesho tu na hakuna jitihada za zaidi wanazofanya kuufanya utalii uvutie zaidi.Watanzania walio kwenye sekta ya Utalii wanajitahidi sana kwa kutumia nyenzo zao kwenda kuonyesha products zao kuanzia maonyesho makubwa ya dunia ya TTB- Berlin, hadi yale makubwa Africa ya Indaba na hata ya Tanzania ya Karibu - TT.Inashangaza kuwa hao hao TTB hawako that helpful kusaidia pamoja na kutoza kiwango kikubwa sana cha ushiriki.
Its high time TTB iwe overhauled!
Wos nakubaliana na wewe kabisa. It time this poor government overhauled TTB. Hakuna kitu ambacho ni expensive kwa Tanzania kama Tourism. Tatizo badala ya kuwa creative wao wamekuwa wa ku copy na ku paste tu. Ki msingi hatuna tofauti na Kenya, lakini utakuta gharama za utalii Kenya ni ndogo sana kuliko Tanzania. Kwa sababu sisi ni ghali itatucost sana kujitangaza na watu wakuelewe kwa nini unauza ghali hivyo. Wanyama ni wale wale Masai Mara na Serengeti. While Maasai Mara its only 15$ as entry fee, Serengeti is 50$. Kwa uchumi wa dunia sasa hivi who will even think of coming to Tanzanian National Parks. Wakati wanapandisha bei walisema wanafanya assesment kuona watalii watakuwa affected kiasi gani,,, ikilazimu watapunguza bei. Believe me or not waliokuja ni wale waliokuwa wamekwisha plan na wengi ni wale walioogopa cancellation fee. Hata hawa wanaokuja sasa hivi wanalalamika sana kuhusu bei zetu.
Ifike mahali tufanye maamuzi yetu na sio wa kuambiwa ni nini cha kufanya. TTB wanafanyiwa kila kitu wa wanafatu tu. Hakuna mahali utasikia kuwa tumefanya research na tukaona ni hivi. Utasikia watu AWP ama WPF wamefanya research na wamependekeza hivi, hivyo tutafanya kwa majaribio.
TATO wenyewe wamekiri kuwa mengi ya mahotel yamefuta kazi wafanyakazi na waliobakia wamepunguziwa mishahara, kisa hakuna watalii. Kwa nini? bei zetu ziko juu. Juzi tu Karibu Fair pale Arusha kuna kampuni zenye mahotel wamepunguza gharama kwa karibu 50% to 60% lengo ni kuwaatract wageni. The same measures could have been taken by our government.