Ona hiki kituko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona hiki kituko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mambo Jambo, Jun 9, 2009.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  TTB INITIATIVE TO PROMOTE COUNTRY'S TOURIST ATTRACTIONS BECOMES SUCESSFUL

  Tanzania Tourist Boards initiative to promote the countrys tourist attractions abroad bore fruits recently after the winners of a raffle organized by TTB and CNN promised to Tanzanias tourist potential in their countries.
  George Tengeneza, TTB Public Information Officer told the Guardian that the lottery which was jointly conducted by TTB and CNN aimed to promoting destination Tanzania in the United States and was open for every Us citizen to participate. Sandra Humpt from US and her son Jeffrey who were nominated as CNNs Ultimate Safaris sweepstakes winner have said they would help to promote Tanzanian's Tourism attractions.
  According to Tengeneza the lottery which was jointly conducted by TTB aand CNN was carried out in 2008 in the US.
  He said among the 38,749 entries Sandra Haupt was nominated the overall winner and she and her son came to Tanzania last month to visit the country's tourist attractions.
  They stayed in Tanzania for seven days in which they visited Serengeti National Park, Ngorongoro crater. Tengeneza said Humpt promised to promote the country's tourist attractions back home.

  MY TAKE:
  KWANZA ANGALIA KICHWA CHA HABARI KINAVYO POTOSHA MSOMAJI.
  PILI, MAFANIKIO YANAYOZUNGUMZIWA HAPA MIMI SIYAONI, KATIKA NCHI NZIMA YA MAREKANI NI WATU 38,749 NDIYO WALIOSHIRIKI NA SI AJABU KATIKA HAO WASHIRIKI HAKUNA HATA MMOJA AMABAYE ATAKUJA TANZANIA.
  VILE VILE HAWAJAZUNGUMZIA ZOEZI LOTE HILI LIMEGHARIMU KIASI GANI.

  MJ
   
 2. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mj
  Ukitaka kujua TTB chunguza habari za MD Peter Mweguo jinsi alivyo teuliwa Peter ni Bomu la kutupwa alipata nafasi hiyo baada ya cledo kuachia ngazi ambaye naye alikuwa boumu akiwa na vyeti bandia vya chuo kikuu kimoja huko Marekani.Alipata nafasi KLM wakamshitukia haraka sana Cledo alikuwa analidwa na mmoja wa wakurugenzi wa idara nyeti marehemu Eviduos walingozi mtu wakwao Sumbawanga, Hivyo Cledo alipoondoka alimwacha Peter ili kulinda maslahi.
  kwa leo naishia hapa naimani wapo wengine pia wanaojua kuwa shirika hilo halina uongozi.
   
 3. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kahinda heshima mbele.

  Hawa jamaa walichukua mamilioni ya shilling ili kwenda kitangaza Tanzania US sasa najaribu kujiuliza kama matumizi yake ndiyo haya hatutaona ongezeko la utalii inchini, ni wakati muafaka wa serikali kuwahusisha vijana wa kitanzania wanaoishi inchi husika ili wawe wanashirikiana nao, unaweza kuta huyu Bwana Tengeza hajui lolote kuhusu CNN wala media inavyofanya kazi marekani, lakini endapo wangekuwa wanawahusisha vijana wa kitanzania waishio kwenye nchi husika nadhani tungepiga hatua mbele, wangeweza kutoa options za maana na siyo upupu kama huu..
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Si rahisi kumshawishi Mmarekani asafiri kwa masaa 15 na gharama kubwa ili aje kutembelea Serengeti National Park, Ngorongoro crater huku akiacha nyuma vivutio vyao Grand Canyon National Park, Nigarra Falls, etc.
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hawa TTB kwa kweli wanahitaji damu mpya maana inaelekea wako bado enzi za mwaka 47!
  Ukiangalia kazi wanayofanya ku promote Utalii wetu - zaidi naona ni wao wenyewe kufanya ziara na kufurahia zaidi.Hao viongozi kutwa kuhudhuria maonyesho tu na hakuna jitihada za zaidi wanazofanya kuufanya utalii uvutie zaidi.Watanzania walio kwenye sekta ya Utalii wanajitahidi sana kwa kutumia nyenzo zao kwenda kuonyesha products zao kuanzia maonyesho makubwa ya dunia ya ITB- Berlin, hadi yale makubwa Africa ya Indaba -Africa ya Kusini na hata ya Tanzania ya Karibu - TT.Inashangaza kuwa hao hao TTB hawako that helpful kusaidia pamoja na kutoza kiwango kikubwa sana cha ushiriki.

  Its high time TTB iwe overhauled!
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wos nakubaliana na wewe kabisa. It time this poor government overhauled TTB. Hakuna kitu ambacho ni expensive kwa Tanzania kama Tourism. Tatizo badala ya kuwa creative wao wamekuwa wa ku copy na ku paste tu. Ki msingi hatuna tofauti na Kenya, lakini utakuta gharama za utalii Kenya ni ndogo sana kuliko Tanzania. Kwa sababu sisi ni ghali itatucost sana kujitangaza na watu wakuelewe kwa nini unauza ghali hivyo. Wanyama ni wale wale Masai Mara na Serengeti. While Maasai Mara its only 15$ as entry fee, Serengeti is 50$. Kwa uchumi wa dunia sasa hivi who will even think of coming to Tanzanian National Parks. Wakati wanapandisha bei walisema wanafanya assesment kuona watalii watakuwa affected kiasi gani,,, ikilazimu watapunguza bei. Believe me or not waliokuja ni wale waliokuwa wamekwisha plan na wengi ni wale walioogopa cancellation fee. Hata hawa wanaokuja sasa hivi wanalalamika sana kuhusu bei zetu.
  Ifike mahali tufanye maamuzi yetu na sio wa kuambiwa ni nini cha kufanya. TTB wanafanyiwa kila kitu wa wanafatu tu. Hakuna mahali utasikia kuwa tumefanya research na tukaona ni hivi. Utasikia watu AWP ama WPF wamefanya research na wamependekeza hivi, hivyo tutafanya kwa majaribio.
  TATO wenyewe wamekiri kuwa mengi ya mahotel yamefuta kazi wafanyakazi na waliobakia wamepunguziwa mishahara, kisa hakuna watalii. Kwa nini? bei zetu ziko juu. Juzi tu Karibu Fair pale Arusha kuna kampuni zenye mahotel wamepunguza gharama kwa karibu 50% to 60% lengo ni kuwaatract wageni. The same measures could have been taken by our government.
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Asante Mkuu!
  Karibu Trade and Tourism Fair iliyoisha wiki jana 7/6/09 Arusha, nakumbuka Waziri wa Utalii alitoa hotuba nzuri sana iliyokua inasifia ni jinsi gani Utalii unachangia siyo tu pato la taifa lakini hata na ajira na mambo mengine.Wazee wa TTB, TATO, na Taasis nyingine walikuwepo pale na sikuona kama walikuwa wana any plan kuangalia namna ya kumlinda huyu golden duck anayetaga the golden egg! Nadhani wakiona wazungu wanazunguka zunguka wanadhani its business as usual.Hawajaona hatari iliyopo ..kwamba wazungu wanaoonekana sasa ni waliofanya maandalizi mwaka uliopita kabla ya reality of economic down turn.Wenzetu nchi jirani kama Kenya na hata Uganda, Rwanda wanatengeneza contingecy plans kwa kutumia laxity ya taasis zetu kuwa wavivu kutengeneza sera bora.Its a pity but ..what to do?
  Ukiangalia participation ya Watanzani katika ITB Berlin -March mwaka huu, sidhani kama TTB walikuwa serious kama nchi nyingine.We need more agressivenes and proactiveness..vinginevyo hatutakuwa na wa kumlaumu.
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Angalau jana President wetu aligusia kero ya bei zetu kuwa kubwa. Hii inadhihirika wazi kuwa wenye mamlaka ya kuongeza bei are just rubber stamp. Yale yale ya kufanyia research guest house badala ya kwenda field kwenyewe. Mi nafikiri Rais wetu angewamrisha wapunguze bei kuanzia sasa. Moja ni pale aliposema sisi Visa ni 100$ wakati Kenya ni 25$ na wanyama ni wale wale, kwa nini watalii walipe ghali huku kwetu? Si watawasubiria huko huko Kenya maana watavuka tu!
  Labda naye Waziri angemweleza Rais kuwa sasa wana mbinu mpya ya kuzuia wanayama wasivuke kwenda Masai Mara! Sasa wanachoma mbuga kule kupunguza nyasi. Kwa kufanya hivi eneo husika likipata mvua kidogo basi nyasi mbichi huota haraka sana na kuwafanya wanyama kutosumbuka kwenda mbali na pia kwa usalama wao maana wanaweza kuona maadui kwa mbali zaidi.
  Sijui itawachukua muda gani kurekebisha bei zao ila mimi nafikiri wakati umefika sasa kungalia upya bei zetu.
   
Loading...