jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
Binti: Hello baba,
Baba: Sema binti yangu
Binti: Nimempenda huyu mlinzi
wa hapa nyumbani, nimeamua
kutoroka nikaolewe nae.
Baba: Pumbafu kweli wewe
unadhani ntashtuka? Safari njema
na nisikuone tena sura yako.
Binti: Samahani baba, nilikuwa
nakusomea barua aliyoacha
mama,
Baba: Umesema????????
haya wanajamvi ingekutokea wewe ungefanyaje?
Baba: Sema binti yangu
Binti: Nimempenda huyu mlinzi
wa hapa nyumbani, nimeamua
kutoroka nikaolewe nae.
Baba: Pumbafu kweli wewe
unadhani ntashtuka? Safari njema
na nisikuone tena sura yako.
Binti: Samahani baba, nilikuwa
nakusomea barua aliyoacha
mama,
Baba: Umesema????????
haya wanajamvi ingekutokea wewe ungefanyaje?