Ona hii unipe comments zako

Ona hii unipe comments zako

Mkuu kuhusu video umejitahidi..
Kama ndio unaanza fani naamini una potential kufika mbali
Umetumia rangi nzuri kuendana na wimbo...
Scene nyingi zilikuwa nzuri

Maboresho
Movements zote za camera tokea mwanzo hadi mwisho zilikuwa za kuyumba yumba... nadhani ulitakiwa uchanganye na steady movements pia.
Effects za kubadilisha clips ni za kizamani sana...
Scenes zote umerekodi from close range. Jutahidi kuwa na distant recordings pia na aerial shootings. ..
Tengeneza local cranes kama huwezu kugharamia za kisasa...

Kwa bahati mbaya wimbo wenyewe ni mbaya saaana kuanzia beats hadi muimbaji... so inakinaisha hata kutazama video.
 
safi sikuwahi kudhani kama wewe ni mtaalamu kwa kiasi hiki.
ladyfurahia anakutafuta.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu mpe [MENTION=22799]ladyfurahia contacts zangu...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuhusu video umejitahidi..
Kama ndio unaanza fani naamini una potential kufika mbali
Umetumia rangi nzuri kuendana na wimbo...
Scene nyingi zilikuwa nzuri

Maboresho
Movements zote za camera tokea mwanzo hadi mwisho zilikuwa za kuyumba yumba... nadhani ulitakiwa uchanganye na steady movements pia.
Effects za kubadilisha clips ni za kizamani sana...
Scenes zote umerekodi from close range. Jutahidi kuwa na distant recordings pia na aerial shootings. ..
Tengeneza local cranes kama huwezu kugharamia za kisasa...

Kwa bahati mbaya wimbo wenyewe ni mbaya saaana kuanzia beats hadi muimbaji... so inakinaisha hata kutazama video.

Mangi we mchaga wa wapi usiyependa rege Aiseee meku...sema maelezo yamejitosheleza
 
kidogo sana (hamna kitu mjomba............)
 
Kwa kuwa umegusia pia suala la udairekta...

Kuna mahali naona kama huyo muimbaji kakosea tena si kidogo....

Muimbaji anaimba habari za Simba wa kabila la Yuda "Yesu Kristo" halafu mkononi kashikilia kitabu cha imani ya Kiislamu ambacho hakimtambui Kristo kama Simba wa kabila la Yuda...

Ukiacha hilo mandhari ya lokesheni mliyofanyia shooting haina uhalisia na maudhui ya wimbo husika, yaani yana sanamu ambazo hazina uhusiano wowote na Simba wa kabila la Yuda...

Kwa kifupi hakuna Mkristo anayeweza kuwa 'moved' na kazi yenu hii...sorry!!!
 
pokea like yangu daddy
Kwa kuwa umegusia pia suala la udairekta...

Kuna mahali naona kama huyo muimbaji kakosea tena si kidogo....

Muimbaji anaimba habari za Simba wa kabila la Yuda "Yesu Kristo" halafu mkononi kashikilia kitabu cha imani ya Kiislamu ambacho hakimtambui Kristo kama Simba wa kabila la Yuda...

Ukiacha hilo mandhari ya lokesheni mliyofanyia shooting haina uhalisia na maudhui ya wimbo husika, yaani yana sanamu ambazo hazina uhusiano wowote na Simba wa kabila la Yuda...

Kwa kifupi hakuna Mkristo anayeweza kuwa 'moved' na kazi yenu hii...sorry!!!
 
Mkuu kuhusu video umejitahidi..
Kama ndio unaanza fani naamini una potential kufika mbali
Umetumia rangi nzuri kuendana na wimbo...
Scene nyingi zilikuwa nzuri

Maboresho
Movements zote za camera tokea mwanzo hadi mwisho zilikuwa za kuyumba yumba... nadhani ulitakiwa uchanganye na steady movements pia.
Effects za kubadilisha clips ni za kizamani sana...
Scenes zote umerekodi from close range. Jutahidi kuwa na distant recordings pia na aerial shootings. ..
Tengeneza local cranes kama huwezu kugharamia za kisasa...

Kwa bahati mbaya wimbo wenyewe ni mbaya saaana kuanzia beats hadi muimbaji... so inakinaisha hata kutazama video.

Ni kweli mkuu ndo naanza fani, tena kwa moto mkali. Kilichokuwa kinanichelewesha ni vyombo, hakuna aliyetayari kushare hata kama ni kwa kuhire. Nikajipanga na ndo nimeanza kutengeneza Portfolio. Pia Youtube inapreview vizuri au imeidhoofisha sana?
 
Kila la heri mkuu...
Tasnia ya video production tz inakosa ubunifu wa kutosha... ukijituma naamini utatoka vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom