MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #101
Aimen to that................ nasalute kaka kabisa.Nilikujibu kwamba tatizo wengi wetu tunachukulia weakness zenu lakini kama mwanamke utakuwa strong na kujiamini unaweza kukataa kutoa tigo na mpenzi wako aka heshimu maamuzi yako.Lakini kwa vile wengi wenu hamjiamini unahisi kwamba ukinyima kutoa tigo mpenzi wako ataenda kwa mwanamke mwingine kuomba tigo.Mapenzi sio kutoa tigo tu na kama mtu anakupenda ataheshimu maamuzi yako.
Kuna wanawake wengine wanapenda kutoa tigo kama njia ya kumvutia mwanamme lakini ukweli ni kwamba unapoteza heshima yako.Wengi wetu tumesahau madhara ya tigo na tatizo kubwa tunapenda kufuata mkumbo.
Kwahio utakuwa unaninyunyuzia kila ukihisi linapungua sio?
Good for you dada! kwa wengi ni kilio........... stay away from limbwata .........u will be fine!
Aimen to that................ nasalute kaka kabisa.
Tatizo langu ni kuwa why kina kaka hawaoni vibaya kukubali the Tigo na wengine wanaidai huku wakiilinganisha na mapenzi ya kweli kuliko limbwata?? ambalo mie kwa namna moja au nyingine naliona kama ni bora (lisiwe na madhara lakini) na njia sahihi ya kuonyesha kuwa unampenda mpenzi wako than giving out that door..........
I like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndio
hayo ya unmet expectations............ mfano mzuri Whitney....... and the list is long
Ndo maana nikauliza if we do do some modifications...including hilo la kukwambiakwa vile mnashirikishwa kwenye tendo hilo na una haki ya kukataa lakini lakini limbwata unafanya kwa siri ya peke yako hunipi nafasi ya kukubali au kukataa kuniwekea.
.............ningekuwa ninajua limbwata lapatikana wapi ningemwekea....just to be with the man that I loved
Ni kweli,most of us like bad boys,check bobs coz they are fun to be with atleast kwa kile kipindi cha maisha ambacho ni cha ku-experiment maisha....fikiria in my early twenties na mwanaume asiye check bob ntafanya nae nini?ndo hayo ya kuzaa na kuolewa mapema.Its good to have fun,as age go,you look for serious men to raise a family with..............LOL
So start with Whitney,Tatiana and then Michelle and Mwanajamii one......................LOl
chunga nguvu za giza unaweza kuja kumpoteza kabisa lol.
Ndo maana nikauliza if we do do some modifications...including hilo la kukwambia
Hun naomba nkulimbwate unione mimi tu.......... wengine wote mji huu uwaone madume..mtakubali?
Kuna kaimani flani eti kama ukipewa ukakataa atapeleka kwingine.......siju kama kunaAimen to that................ nasalute kaka kabisa.
Tatizo langu ni kuwa why kina kaka hawaoni vibaya kukubali the Tigo na wengine wanaidai huku wakiilinganisha na mapenzi ya kweli kuliko limbwata?? ambalo mie kwa namna moja au nyingine naliona kama ni bora (lisiwe na madhara lakini) na njia sahihi ya kuonyesha kuwa unampenda mpenzi wako than giving out that door..........
Michelle, kwanini usi-experiement na huyo wa ku-raise na familia? what is wrong with that?Ni kweli,most of us like bad boys,check bobs coz they are fun to be with atleast kwa kile kipindi cha maisha ambacho ni cha ku-experiment maisha....fikiria in my early twenties na mwanaume asiye check bob ntafanya nae nini?ndo hayo ya kuzaa na kuolewa mapema.Its good to have fun,as age go,you look for serious men to raise a family with..............LOL
So start with Whitney,Tatiana and then Michelle and Mwanajamii one......................LOl
Michelle, kwanini usi-experiement na huyo wa ku-raise na familia? what is wrong with that?
Mkishachoka na hizo experiment ndio mtafute yale mlokuwa mnayaita mazoba, aliye-settle mwenye hela?
Apo ndio mnaishia kunyanyaswa, unaanza kutafuta visivyotafutwa, limbwata sijui toa tigo.........
mi naona ni kuwa disciplined
No doubt Michelle..........even nicer ........... mi huwa naamini kwamba ukiwa na age mate wako or near age mate mtakuwa na mengiha ha ha ha ha ha,wala tunakuwa hatujachoka,worry not!lol.......mwanamke hanyanyaswi kwa kuwa alishakuwa na mahusiano huko nyuma aka-experiment........mwanamke hunyanyaswa kama kuwa hajiheshimu,hana maamuzi,hayuko independent na hajiamini.Honestly speaking,there is a lot that we learn from our relationships,na ndo maana inafika sehemu unajua unataka nini!Ma-check bob wengi ni wacheshi,wanapenda kutembea like going to movies,kula ice creams,beach,mbuga za wanyama,music etc...........sasa wengi wa wanaume wasio hivyo,akifurahi sana anakunywa bia na washkaji na kitimoto.............why not have fun with my check bob who could also be my husband later???
mkuu, limbwata ni nyama ya ulimi.... men are very good atKwa mtizamo wangu, hao sio wanaume.............. na hiyo dawa wanaenda kuipata wapi?
Ndio nillikuwa namwambia michelle hapa kwamba caring, love, comfort and the like can bemkuu, limbwata ni nyama ya ulimi.... men are very good at
No doubt Michelle..........even nicer ........... mi huwa naamini kwamba ukiwa na age mate wako or near age mate mtakuwa na mengi
tu ya kufanya pamoja na hata kurekebishana inakuwa rahisi. Lakini utakuta wasichana hata watatu wanamgombea check bob flani
halafu ukiangali hamna future wala nini ......... Kuna incidence moja huyu mdada akaishia kutaka kuolewa na age mate wa baba yake
kisa ameshachafua file kila kona, it makes one sad!
U sound ambitious and confident, a kind of a woman every man would like to have. So, do u believe on this limbwata thingy maana it makes me sick. Yaani nikisikia wanawake wanazungumzia hii kitu nawaona kama wanga flani hivi, sorry no offenseAge matters mtu asijidanganye it does't,ukiwa na mwanaume mnakaribiana umri ni rahisi hata kurekebishana si mwanaume wa age mate ya baba???hao wadada walioko desperate hivyo ndo huishia kuwawekea limbwata wanaume........The fact kwamba umeshachafua kila kona haipaswi kumfanya mwanamke kukubali lolote,ni kukosa tu uvumilivu na pengine tamaa au hata kutaka kuwa kama wengine eti nawe umeolewa...Ukitulia,ukabadili mwenendo,mbona wanaume wapo tu na Mungu hupokea wanyeyekevu na wanaojirudi?Mi waga nasema hata wafike 30,GOD FORBID, i will not look for less when it comes to my husband,he has to be the best not just a human bn with ...........btn his legs........LOL! Kwenye suala la mtu kuwa check bob,wapo waliotulia,na kwenye issue ya wanaume,mama yao ni mmoja awe check bob au awe kama GFM ni wale wale tu...............LOL
U sound ambitious and confident, a kind of a woman every man would like to have. So, do u believe on this limbwata thingy maana it makes me sick. Yaani nikisikia wanawake wanazungumzia hii kitu nawaona kama wanga flani hivi, sorry no offense
That line is kind of convoluted, ebu elaborate plseTrust me,most men do not want women like me,i scare them sijui? I belive in God,i do not have two religions..........So hiyo limbwata hapana wala sitomshauri mtu,i can advise divorce but not limbwata,it makes u a slave for God's sake??why not look for somebody else?Siaminigi kama kuna kitu kumpenda mtu kiasi hiki,ni obsession na desperation!anyway,we differ,i do not blame my fellow women,i understand their grounds!