On na off katika mapenzi..............!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

On na off katika mapenzi..............!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Sep 15, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wandugu wana Jamvi natumaini mu-wazima na mmeamka mkiwa bukheri wa afya!!!!
  Asubuhi ya leo napenda tushirikiane katika kuimarisha mapenzi yetu katika ndoa zetu na mahusiano yetu!!!

  Hata mwili wa mume au mke huwa na automatic switch ya kuwa on au off Kama kufanya mapenzi kati ya mke na mume huweza kuwaunganisha wanandoa kiasi kwamba hata kama kuna bad relatioship huweza kuwa nzuri na mpya pia suala la kufanya mapenzi mke na mume huweza kuua mahusiano mazuri kama timing na utendaji unakuwa tofauti.
  Je, vitu gani humfanya Mume kuwa turned off kitandania na mke wake?
  Mke mvivu kitandani
  Mume hapendi kabisa mke ambaye wakiwa kitandani anaonesha kutofurahia kile mume anafanya au kufanya mapenzi pamoja.
  Kuna usemi kwamba zamani za kale wanawake walifundishwa wakati wa kuwa mwili mmoja walitakiwa “just lie back and think of England” hizo siku zilishapita.
  Mume hahitaji Mke ambaye ni submissive tu bali yule anajishughulishe na kufurahia kile Mume anafanya.
  Kuwa kama gogo kitandani hakumridhishi mume na Mume hujiona ni foolish.
  Mume huhitaji mke ambaye ni active na anaye enjoy sex pamoja.

  Mke ambaye hata siku moja haanzishi suala la kuhitaji sex.
  Kama hakuna hata siku moja ambayo mke anajisikia kumtamani mume na hatimaye kumuomba tendo la ndoa basi Mume hujiona hahitajiwi na mke wake na inampa maswali why.
  Hata hivyo hapa ni Mke kuwa initiator na si demanding.

  Mke asiyejichunga kuhusu mwonekano wake:
  Rahisi kabisa, wanaume huvutiwa na kile wanaona hivyo physical attractiveness ya Mke ni muhimu sana kwa mume wake, generally Mke huangalia sifa za ndani za Mume kama tabia za ndani zinazomfanya Mke kujiona safe na secure.
  Hivyo mke ni muhimu kujitahidi kuonekana attractive, kutumia common sense kuhusiana na masuala ya usafi, pamoja na kula vizuri, kufanya mazoezi na just taking good care of your body.

  Mke ambaye hupo so concerned kuhusu appearance yake.
  Ingawa wanaume huvutiwa sana na Mke ambaye ni naturally pretty, hali ni tofauti kwa Mke ambaye anajiona urembo wake ndiyo kitu cha msingi kwake.
  Mke ambaye anakuwa obsessed na urembo wake au vipodozi vyake ambavyo ameweka kwa mwili wake hadi anafanya tendo zima la ndoa kuwa gumu eti anaweza kuharibu iwe nywele zake au vipodozi alivyoweka huweza kufanya turn off ya uhakika kwa mume.

  Mke ambaye hawezi kuhudumia vizuri stick ya mume wake kwa raha zake.
  Mke yeyote ambaye hana skills za kumhudumia mume wake kiungo muhimu ambacho kinatumika kumpa yeye mwenyewe raha ya mapenzi kwa kujitoa na kuonesha ni kiungo special huweza kuwa turn off kwa mume.

  Je, nini vitu gani huweza kuwa ni turn on kwa mume kutoka kwa mke wake?
  Mke anayefurahia sex
  Kila Mume anapenda Mke ambaye anapenda sana kuwa na Mke ambaye anafurahia sex na mume wake mara kwa mara anapohitaji.

  Mke ambaye anaweza kuwa initiator wa sex sometimes.
  Mume anapenda kujua mke anamuhitaji yeye mume kama yeye mke anavyomuhitaji mume.
  Mke anayemsifia mume wake kwamba ni the best lover in the world hasa linapokuja suala la kuwa mwili mmoja.
  Mume hufurahia mke ambaye anamsifia, anamshukuru kwa raha anayompa na jinsi alivyo great.
  Hata hivyo haina haja mke kudanganya kwamba anapata raha kama hakuna lolote.

  Mke ambaye anamshirikisha mume vitu ambavyo vinamsisimua katika positive way siyo critical.
  Kwa kuwa wanaume ni sensitive sana hivyo basi positive message huwa inafanya kazi kubwa kuliko negative na kitandani suala hili ni muhimu mno.
  Unachotakiwa ni kuwa loving partner kitandani na si kutumia maneno ambayo mume anaweza kusababisha hata stick yake kurudi ground zero.
  Badala ya kutoa sauti kubwa na kwa ukali kwamba “usifanye hivyo” unaweza kusema “unaonaje ungefanya hivi”

  Mke anayeweka kipaumbele kuwa na sex kama mume anavyoweka kipau mbele suala la kufanya sex na mke wake.
  Mume anapenda mke ambaye ana share hamu yake ya mapenzi kwa mume na kwamba mke yupo attracted kwa mume.
  Mwanaume ambaye hana ufahamu wa kimapenzi.
  Hajui ni nini na wapi kipi kinapatikana na kinafanywa vipi.
  Kwa mfano hajui kisimi nini, kipo wapi na kina manufaa gani na hana mpango wa kujua au kujifunza lolote kuhusu mapenzi.

  Mume ambaye hana hamu ya kujifunza jinsi ya kumridhisha mke zaidi.
  Kutokuwa na hamu (interest) ya kutaka kujua skills na mambo mapya inaweza kuwa ni turn off kwa mke kwani kila mwanamke ni tofauti na katika mapenzi (kuwa mwili mmoja) huwezi kukoma (stop) kujifunza haijalishi unajua kiasi gani bado kuwa vitu vingi sana vya kujifunza .

  Mume ambaye ni mbinafsi kujipa raha yeye mwenyewe.
  Kama unahitaji kujua maana ya tendo la ndoa linalowaridhisha wote basi jifunze kutangulia mwenzako na kumridhisha kwamba yeye (pleasing)
  Mwanaume asiyeuliza hata swali wakiwa kitandani.
  Mke huhitaji mume ambaye ni initiator anayejua kuutumia uwanja (mwili wa mke wake) na kuuliza anajisikiaje kila sehemu anayogusa au kukanyaga.

  Mambo ambayo huwa ni turn on kwa mke kutoka kwa mume wake:
  Mume ambaye amejaa ufahamu kuhusu mwili wa mkewe.
  Kwa mfano mume anajua kisi.... kipo wapi, kipoje, kina sifa gani, kina respond vipi, kinafanywa vipi kitoe raha na anajua ni namna gani mke atakuwa amepata raha anayohitaji kupitia hapo nk hapo ni kila kiungo ambacho mke anaweza kusisimka na kupata raha ya mwili kutoka kwa mume wake na kuridhika.

  Mume ambaye focus kubwa ni kumpa raha mke na si kutimiza wajibu.
  Hana haraka na kufanya na kumaliza na kutimiza wajibu bali ana mikono slow kiasi cha kufamfanya mke ajione ni mke anayeridhishwa na mume kuliko mwanamke yeyote duniani.
  Ni mume ambaye mke akikumbuka jinsi wanavyofanya huko faragha basi kama mume amesafiri anaanza kutamani mume arudi haraka maana hakuna muda mzuri kwake duniani kama kuwa na mume faragha na kufaidiana.
  Mume anayemfanya mke kujiona ni beautiful chumbani na nje ya chumbani.
  Anampa sifa na kumfanya mke akione ni kweli ni mzuri na anapendeza chumbani na nje ya chumbani.
  Mwanaume anayejali kuridhika au kutoridhika kwa mke katika sex.
  Mwanamke yeyote hupenda kujua au kuona mume wake anakuwa completely involved kuhakikisha anampa raha ya kimahaba na mume anakuwa na mtazamo au anajitahidi kuongeza ujuzi ili kuhakikisha mke anapata raha zaidi kila wakiwa pamoja chumbani.
  Siyo mwanaume ambaye haweza hata kujua hali ya zoezi zima la tendo la ndoa lipoje zuri, kawaida au wanaelekea kwenye cliff.
  Anapenda mwanaume anayetaka kujua ni kitu gani kinampa raha live, siyo kuwa selfish na baada ya kumaliza mke anaendea kuugua na kujiona ametumiwa tu.

  Mume anayemfanya mke kujiona yeye ni namba moja kwake kwa kila kitu.
  Mke hapendi tu kujiona yeye ni factor kwa mume bali anapenda kuona ni very important factor kwa maisha ya mume wake.
  Mke lazima ajisikia salama na huru katika kile anatenda katika ndoa na mume wake.
  Mume anahitaji kuwa creative jinsi ya kufanya mke vipi ajisikia.
  Ni kweli sex ni kitu kizuri sana (wonderful) na huweza kumpa raha mume na mke hata hivyo Mungu amempa mume uwezo wa kufanya kazi apate pesa hata aweze kumnunulia mke vitu vidogo vidogo kama massage oil ili wakiwa wawili wapeane raha katika miili yao.

  HITIMISHO:
  Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, naye vivyo hivyo mke kwa mumewe.
  Mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe, wala mume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe.

  AMEN..........!!!
   
Loading...