On bed kuna wanaume wa aina nne

[Akienda semina tkuyu wiki moja tu ukae mkao wa kupokea watoto kutoka kwa wake wenza, ahaaaaa!]
In this HIV/AIDS era, mtu unatoka nje ya ndoa?
 
[Akienda semina tkuyu wiki moja tu ukae mkao wa kupokea watoto kutoka kwa wake wenza, ahaaaaa!]
In this HIV/AIDS era, mtu unatoka nje ya ndoa?

Mmmmh anzisha hiyo topic usikie majibu yake kama hujakaa mdomo wazi
 
HUyo namba 1 lazima atakuzeesha haraka na kukufanya upungue lol, unless um regulate
namba 2 is an OK guy
namba 3 mmhh inahitaji msaada wa Mungu kuvumilia khaa
No 4 NO man for me!!!

mi mbili ndivyo nilivyo hata moja ukihitaji ntakuwa hivyo..
 
Kama mwanaume umekamilika haka kamchezo unaweza kucheza kila siku mi ilikuwa hivyo nikapigwa stop akasema namzeesha kwahiyo siku hizi kwa wiki mara 4 tabu kweli kulala usiku kucha bila kuduu.
 
Hawa Jamaa ndo maana wanatushaanga sana kwa shughuli hii. Wanafikiria tunapenda kumbe ni maumbile ya mwili.
 
you couldn't have been more correct....
 
Hawa Jamaa ndo maana wanatushaanga sana kwa shughuli hii. Wanafikiria tunapenda kumbe ni maumbile ya mwili.

Kweli kabisa mzee. Huo urijali wetu ni sababu mojawapo kubwa kwanini wanawake wa kidhugu wanawapenda sana wanaume wa kiafrika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…