Hayo yalinikuta, bahati nipo nje ya TZ naganga njaa sasa nilikuwa natuma ada ya boarding kumbe kamtoa anakaa home nilipobaini nikaacha kumtumia nikawa natuma kwenye account ya shule moja kwa moja. Kanipiga pini siwasiliani na mtoto kabisa na niko mbali, mambo mengine we acha tu.Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??
Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.
Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
This goes both ways japo mtazamo wake wa kusema hana mapenzi na baba yake utabaki kuwa wa kwake, kila mja hu-react tofauti katika yale yanayomkabili.Kweli sijawahi kuskia mtoto akimkataa Baba tajiri kwa madai kwamba alimtelekeza mama yake, Lakini watoto wakitajirika wanawakataa Baba maskini kwa kigezo cha Utelekezwaji.
Hii ni direct imbalacement.
Jambo gumu ni kujua ukweli halisi of what exactly transpired lakini mtu akiboronga akamkataa mtoto katakata ni upumbavu kumpa credits eti kwa sababu tu ni baba ila kusamehe ni jambo la busara.Naungana na wewe, Hawa vijana wa Kizazi cha Make Up wana akili za kike sanaaaa. Imeandikwa tuwatii wazazi sio wazazi wawatii watoto. Mzazi haijalish kafanya nini ni wajibu wako kutafuta suruhu ili upendo udumu.
Kuna wimbo wa Ambwene mwasongwe Mwamba alichapiwa mke wake na Baba ake mzazi lakini MUNGU alimtaka kijana arudi akamwombe Baba ake msamaha ilihali yeye ndie kakosewa.
Mm ningekuwa dogo hii story ningeifunga mahakamani ili huyu dingi asimzoeeIpo wazi anaemkabidhi mtoto kwa baba ni mama km mama hakumkabidhi kwa baba yake basi hata ningekua mimi nisingekua na time nae..
Itoshe kusema mama ndie anaemjua baba wa mtoto ni nani.. nyingine mbwembwe tu
Pozi kwa pozi haaahaaahaaa[emoji1787][emoji1787]Niliwahi kukutana na huyu Mzee Sumbawanga ni dereva Bajaj.
Wakati napata huduma ya usafiri wake alikuwa analalamika sana juu ya Ommy na kubwa zaidi akisema suala lake na mwanae limesababishwa na Mama yake Ommy.
Inaonekana wakati huyu mzee akiwa kijana hakuwa karibu na familia yake kihivyo.
Bajaj yake imeiandika "Pozi kwa Pozi"
We unaongea kwa kutumia akili kweli?Issue ni kuzaa si kulea, Baba na Mama ni wale wanaokuzaa. Unaweza ukalelewa hata mituo cha polisi na Maaskali lakini huwez kuwataja kama Baba na Mama yako
SawaKuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??
Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.
Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
🤣🤣🤣Atoe single nae
Hakuna excuse, mzee wake alizingua, mama kavuta tangu darasa la pili, kama angekuwa na nia angeonesha mapenzi tangu baada ya msibaNdiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.
Ni kipimo kizuri cha mahusiano baina ya wazazi.Ubini hakuwa na option ya kuuchagua,aliukuta tu.
Kwa upande mmoja yupo sawa, mkuu. Imagine mama yake alikata moto akiwa darasa la pili halafu mzee akamkaushiaga ivoivo!
Ukiwa na mtoto Mdogo au mchanga Ina shauriwa jitahid KILA mara una mbeba mkumbatie kifuani huku mshee lile joto ukimtamkia baraka, hili jambo lina maana kubwa Sana kwa saikolojia ya mtoto. Ukubwani ni lazima mtoto hawezi kuwa mbali nawe.
Hi story inapatikana kwenye Biblia mkuu?Naungana na wewe, Hawa vijana wa Kizazi cha Make Up wana akili za kike sanaaaa. Imeandikwa tuwatii wazazi sio wazazi wawatii watoto. Mzazi haijalish kafanya nini ni wajibu wako kutafuta suruhu ili upendo udumu.
Kuna wimbo wa Ambwene mwasongwe Mwamba alichapiwa mke wake na Baba ake mzazi lakini MUNGU alimtaka kijana arudi akamwombe Baba ake msamaha ilihali yeye ndie kakosewa.
Acha ale mama ake na wadogozake vyote kazi kutupia manii yetu na kusepaKeshaathirika na sumu ya mama
Ommy dimpoz ni mjinga tu asidhani kuwa yeye pekee ndiye amepitia hali hiyo.Binafsi mzee wangu aliniacha nikiwa na mwaka mmoja hata sijaacha kunyonya. Sikuwahi kuiona sura yake kipindi nakua sana sana niliongea nae kwa siku mara moja moja tu. Ila story nlizokuwa nikizipata kutoka kwa mama na hata ndugu zangu waliowahi kuishi nae ni kuwa alikuwa mtu mwenye mali na pia alikuwa anajali sana na alikuwa akiijali familia.Sikujua nini kilitokea mpaka akanitelekeza ,mara ya kwanza nakuja kuiona sura yake ni pindi amefariki ,tunakwenda kumzika. Nlitamani na bado natamani sana ningepata walau muda wa dakika kadhaa nikae nae chini niongee nae mawili matatu,nipate busara zake ila haikukadiriwa kuwa hivyo. Ni kweli nikiri kuwa single mothers wanawalisha sana maneno watoto wao hususan wa kiume kuwa baba zao ni wabaya. Kwakuwa nishakaa na wanawake ktk maisha yangu, i didnt buy dat bullshit. Sikuskiliza hizo negativity. Nilipanga sana nikamtafute mzee wangu walau niione tu sura yake. Ila wakati najipanga ndipo umauti ulimfika hivyo sikujaaliwa.
Ommy ashukuru hata kuweza kumuona baba yake kuna wengine hata sura za wazee wetu hatujaziona. Sometimes huwa nawaza ,Je Mungu aliyetuumba angekuwa hasamehi kama hivi sisi tulivyo ,je tungeliambulia hata tone la mvua?? Je Mungu angesema anawapa neema wale tu wanaomuabudu,je sisi waasi tungelipata hata punje ya haradali?
Haiyumkiniki Mungu anatuumba na kutujali sisi wanaadamu toka tupo ktk umbile la manii, pande la damu mpk tunazaliwa tukiwa timilifu na tunakua na bado tunamshirikisha kwa kuabudu miungu mingine na bado anaendelea kutupa hewa,maji na chakula n.k bure. Ila sisi tunashindwa kusamehe tena wazazi wetu.
Kama ukimuangalia mzee nyembo utaona kuwa ana moyo mkunjufu kwa mawanawe na anakiri makosa yake aliyoyafanya.Na anachokitaka sasa hivi si rizki ya kula kutoka kwa mwanawe bali ni ule ukaribu tu .Mzee ameshafikia umri wa utu uzima anataka amuunganishe mwanawe aliyepotezana nae na nduguze. Nani ajuae labda mzee amebakisha umri mfupi kabla ya kuondoka duniani??
Vp akifa leo na dimpoz kujifanya kwenda sumbawanga kwenda kuhudhuria mazishi, je ndugu zake upande wa baba wakimfurusha msibani atajiskiaje??
Hakuna jambo zuri kama kuunga udugu na kuwathamini wazazi. Umaarufu anaouringia dimpoz si chochote ikiwa kama mzee nyembo angeamua kupiga nyeto na kuziacha shahawa zake zikapotelea chooni tu.Ila alizipa heshima na kwenda kuziweka katika mfuko wa uzazi wa mama yake dimpozi. Na leo hii dunia inamfahamu huyu dimpoz.
Dimpoz acha utoto ,grow up umtafute baba yake ,myajenge ,mmalize tofauti zenu na akuunganishe kwa nduguzo upande wake.
Ommy dimpoz ni mjinga tu asidhani kuwa yeye pekee ndiye amepitia hali hiyo.Binafsi mzee wangu aliniacha nikiwa na mwaka mmoja hata sijaacha kunyonya. Sikuwahi kuiona sura yake kipindi nakua sana sana niliongea nae kwa siku mara moja moja tu. Ila story nlizokuwa nikizipata kutoka kwa mama na hata ndugu zangu waliowahi kuishi nae ni kuwa alikuwa mtu mwenye mali na pia alikuwa anajali sana na alikuwa akiijali familia.Sikujua nini kilitokea mpaka akanitelekeza ,mara ya kwanza nakuja kuiona sura yake ni pindi amefariki ,tunakwenda kumzika. Nlitamani na bado natamani sana ningepata walau muda wa dakika kadhaa nikae nae chini niongee nae mawili matatu,nipate busara zake ila haikukadiriwa kuwa hivyo. Ni kweli nikiri kuwa single mothers wanawalisha sana maneno watoto wao hususan wa kiume kuwa baba zao ni wabaya. Kwakuwa nishakaa na wanawake ktk maisha yangu, i didnt buy dat bullshit. Sikuskiliza hizo negativity. Nilipanga sana nikamtafute mzee wangu walau niione tu sura yake. Ila wakati najipanga ndipo umauti ulimfika hivyo sikujaaliwa.
Ommy ashukuru hata kuweza kumuona baba yake kuna wengine hata sura za wazee wetu hatujaziona. Sometimes huwa nawaza ,Je Mungu aliyetuumba angekuwa hasamehi kama hivi sisi tulivyo ,je tungeliambulia hata tone la mvua?? Je Mungu angesema anawapa neema wale tu wanaomuabudu,je sisi waasi tungelipata hata punje ya haradali?
Haiyumkiniki Mungu anatuumba na kutujali sisi wanaadamu toka tupo ktk umbile la manii, pande la damu mpk tunazaliwa tukiwa timilifu na tunakua na bado tunamshirikisha kwa kuabudu miungu mingine na bado anaendelea kutupa hewa,maji na chakula n.k bure. Ila sisi tunashindwa kusamehe tena wazazi wetu.
Kama ukimuangalia mzee nyembo utaona kuwa ana moyo mkunjufu kwa mawanawe na anakiri makosa yake aliyoyafanya.Na anachokitaka sasa hivi si rizki ya kula kutoka kwa mwanawe bali ni ule ukaribu tu .Mzee ameshafikia umri wa utu uzima anataka amuunganishe mwanawe aliyepotezana nae na nduguze. Nani ajuae labda mzee amebakisha umri mfupi kabla ya kuondoka duniani??
Vp akifa leo na dimpoz kujifanya kwenda sumbawanga kwenda kuhudhuria mazishi, je ndugu zake upande wa baba wakimfurusha msibani atajiskiaje??
Hakuna jambo zuri kama kuunga udugu na kuwathamini wazazi. Umaarufu anaouringia dimpoz si chochote ikiwa kama mzee nyembo angeamua kupiga nyeto na kuziacha shahawa zake zikapotelea chooni tu.Ila alizipa heshima na kwenda kuziweka katika mfuko wa uzazi wa mama yake dimpozi.
Wanaume wengi Sisi ni wapuuz Sana ,eti kuzaa kuzaa hata wanyama wanazalisa /kutunhisha mimba , issues ni malezi .We unaongea kwa kutumia akili kweli?
Kuzaa Kuna ishu gani? Zaidi ya kuwa sperm donor, au mpiga Pichu na bao lilee?
Ishu ni malezi mzee baba ndo mziki uko pale..
Na bond kati ya mzazi na mtoto inaanzia kwenye malezi , sio sijui eti yule kanizaa[emoji57][emoji57]