Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

Huyo anafanyaga private ili asiulizwe kuhusu kuzaa watoto. He's happy on the outside ila nje atakuwa the most depressed one. Imagine crew yako yote wamesha oa na kuzaa watoto.. Huwezi kukaa unakuwa happy ma watu wanakuzishia wewe chakula?
Ni kweli kabisa, ila mtu kama dimpozy hawez kosa demu, huyu haiwezi shindwa walau kupata hata demu wa kawaida tu achilia mastar, ni yeye tu anasababu zake
 
Mambo ya kwenye kuta nne si rahisi kuyazungumzia kinagaubaga, tunazungumzia hisia tu. Labda kama uwe ulishawahi kuwa mhusika na unaweza kutoa ushuhuda.
 
Kina professa J, Mr Blue pia ni wasanii na huenda wanafanyiwa hivyo ulivyosema...

Mbona hawajawahi kuzushiwa hizi skendo mkuu?

Huyu Ommy kuna kitu cha ziada watu wanaona, msimtetee sana.
 
Aisee watu wanakula Raha, hiyo ni room Tu ya kulala?
 
Hakuna TV Broadcasting ambayo hawafanyi facial makeup Itv, startv, Tv1, Azam, ZBC zote hizo nimefanya kazi nao na nilikuwa napigwa poda usoni hadi lipstic
 
Hakuna TV Broadcasting ambayo hawafanyi facial makeup Itv, startv, Tv1, Azam, ZBC zote hizo nimefanya kazi nao na nilikuwa napigwa poda usoni hadi lipstic
Safi ndio nilitaka nimjuze seran kuwa mambo ya make up ni kawaida sana kwa mastar, kawaida meno, coz ni part ya KAZI zao.

Mkuu we ni presenter au ulikua unaenda kwa mishe Gani mkuu
 
KWAMBA KIPA KATOKA Haaahaaah Hatushare stage na machoko
U BELA WOCHI U A BAKI MAMBA 24
MWISHO WA KUNUKUU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…