Own goals nyingi saa mkuuBeki hazikabi
Hili lijibaba ni lijishogaMwanamuziki wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, 39, amefunga comments katika post zake nyingi kwenye ukurasa wake wa Instagram!.
Hiyo inamaana kwamba, hakuna shabiki au mtu yeyote anayeweza kutoa maoni yake kwenye post zake hasa za hivi karibuni.
Uamuzi huo umekuja baada Dudu Baya kumtuhumu Ommy Dimpoz kujihusisha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili.
Hata hivyo, Ommy Dimpoz akiongea kwa simu na MaiTV, alisema ameamua kumsamehe Dudu Baya na hana mpango wa kumfungulia mashtaka licha ya kushawishiwa kufanya hivyo.
View attachment 3676627
Basi kamfungulie wewe mashtakaAaaaaah!! Anamwachieaje kirahisi hivyo jameni.!!! Au.... Au basi ngoja niwe mpenzi mtizamaji
Je yule Joyce lomalisa, angel do maria nao tusemeje, alafu hiyo ni aka usikite waja ndio walimbatiza ye kaendelezaMwanaume kabisa rijali unajiitaje dimpoz?
Mbona unamtetea sana?Je yule Joyce lomalisa, angel do maria nao tusemeje, alafu hiyo ni aka usikite waja ndio walimbatiza ye kaendeleza
Simtetei mi ni msanii wa mziki naonhea kitu nilicho na idea nacho, SISI wasanii maisha na appearance YETU physically ni simple kubambikiwa ushoga, mfano kuchoma nywele, kujicream, kujipodoa yote hiyo ni harakati za kupendezesha taswira kwa mashabiki mana mashabiki wao wenyewe ndio hutuwekea matabaka huyu ni msanii makubwa huyu ni mdogo,Mbona unamtetea sana?
We mtu tangu kukua kwangu scandal ni ileile kwani ana kasoro gani asemwe yeye tu?
Soma tena ulichoandika, kujipodoa?Simtetei mi ni msanii wa mziki naonhea kitu nilicho na idea nacho, SISI wasanii maisha na appearance YETU physically ni simple kubambikiwa ushoga, mfano kuchoma nywele, kujicream, kujipodoa yote hiyo ni harakati za kupendezesha taswira kwa mashabiki mana mashabiki wao wenyewe ndio hutuwekea matabaka huyu ni msanii makubwa huyu ni mdogo,
Ni msanii Gani ana shuti au kupiga picha bila kujipodoa? Si msanii tu ushawahi kufanya interview kwenye media kubwa? Lazima wakupodoe unatengenezwa kwanza huendi TU kusimamisha kwenye kamera tu unaandaliwa sasa huko si kupodolewa seran vipi, hiyo Haina shida yote hiyo nikuweka sawa muonekano wa taswira Yako ili mashabiki wakuweke kwenye kundi zuri, ndio sababu unimuona msanii kwenye kamera ni tofauti na ukimuona hadharaniSoma tena ulichoandika, kujipodoa?
Huyu ommy kaanza kusemwa hivyo niko o level mpk leo ni miaka mingi sana, na hakuwa na lolote zaidi ya huo muziki, ingekuwa kaanza kusema slivyojipata tu ningeona anaonewa!
Huenda ni kweli ana shida za nguvu za kiume, ila kujihusisha na kuwa chakula nina wasiwasi nae. Huenda kashindwa tu kuzalisha maana kawa kwenye mahusiano mpaka na wakina wema sepetu ila inaonekana alikuwa na shida ya uzazi.Soma tena ulichoandika, kujipodoa?
Huyu ommy kaanza kusemwa hivyo niko o level mpk leo ni miaka mingi sana, na hakuwa na lolote zaidi ya huo muziki, ingekuwa kaanza kusema slivyojipata tu ningeona anaonewa!
Kuna kipindi alipata mtoto wake wa kwanza, sijajua waliishia wapi, ommy ni msiri, Zanzibar paje beach Alisha onekana na pisi ya kwenda hatari lakini hata hakupostHuenda ni kweli ana shida za nguvu za kiume, ila kujihusisha na kuwa chakula nina wasiwasi nae. Huenda kashindwa tu kuzalisha maana kawa kwenye mahusiano mpaka na wakina wema sepetu ila inaonekana alikuwa na shida ya uzazi.
Huyo anafanyaga private ili asiulizwe kuhusu kuzaa watoto. He's happy on the outside ila nje atakuwa the most depressed one. Imagine crew yako yote wamesha oa na kuzaa watoto.. Huwezi kukaa unakuwa happy ma watu wanakuzishia wewe chakula?Kuna kipindi alipata mtoto wake wa kwanza, sijajua waliishia wapi, ommy ni msiri, Zanzibar paje beach Alisha onekana na pisi ya kwenda hatari lakini hata hakupost