Mkuu MTM, hivi vitu sisi Waafrika huwa hatuvizungumzii kwa heshima ya mama zetu!. Masikini dada wa watu!, haikuwa siku zake lakini hali hiyo imesababishwa na shock ya kuwa too emotional.this is sad... mkuu this is uncomfortable
. Shit happens. BUT… shouldn't she have known that it was on the way and took some precautions? There are period apps now that are hella accurate ya know. So is there really any excuse for this?
Source: OMG! Christina Aguilera's Period Outshines Her Performance at Etta James' Funeral… [PHOTOS + VIDEO]
Acheni kumsingizia, mbona kwenye video clip yake haionekani?
Anaonekana kama kujifuta kitu mguuni, lakini hakukuwa na hiyo michirizi
😡
Clearly picha ya pili imekuwa zoomed in!!
And here I was thinking Christina killed it and topped the embarassment of forgetting the words of the US national anthem.
.