mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,936 Reaction score 2,407 Jun 19, 2016 #1 Kwa mwana JF yeyote mwenye nyimbo za Emmanuel Nkulila na mwenye roho nzuri ya kusaidia wengine naomba anitumie nyimbo hizo inbox. Usinitumie link tafadhali, nitumie clips. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kwa mwana JF yeyote mwenye nyimbo za Emmanuel Nkulila na mwenye roho nzuri ya kusaidia wengine naomba anitumie nyimbo hizo inbox. Usinitumie link tafadhali, nitumie clips. Natanguliza shukrani zangu za dhati.