Ombi: Mh. RAIS kuhutubia Siku ya Mwisho wa Mwaka

Hivi kwani kuna ulazima wa yeye kuhutubia.??..unadhani atasema lolote la zaidi ya haya unayo yaona au unataka kusikia kaongeza ndege..??
 
Unataka kututia gundu na mwaka mpya, unadhani nani anahamu na hotuba zake kwa sasa? Labda mleta uzi
Kuna watu siku zote usiku na mchana wanasikia sauti ya Risasi na Mabomu wanatamani wasikie hatuba nzuri kama za Rais wetu Magufuli zilizojaa matumaini nyie mnasema hazifai. Ningekuwa na uwezo wote nyie mnaopiga majungu ningewapakia kwenye ndege niende niwadondoshe Syria tuone kama hamtaitamani Tanzania yetu.
 
Matokeo ya Syria ni tabia kama za huyo unaemuona mungu wako, watu waliminywa kunyimwa uhuru hayo ndo matokeo yake, endeleeni kudanganyana hapo lumumba
 
Kipi bora kumpa mtu pesa aweke mfukoni au umjengee miundombinu na vituo vya kupatia huduma ya Afya na elimu.
Hakuna ubora kwenye utapeli, michango yetu tulitoa kusaidia wahanga sio kusaidia miundo mbinu, huo ni wizi hakuna zaidi
 
kama viongozi wengine wa dunia wanatoa hotuba izo ni vyema uwasikilize hao.
Mbona mmekasirika?.

Niliomba hotuba ya ki MUNGU yaani iliyojaa haki, amani na furaha, kwa hapo kutakuwa na uwepo wa MUNGU. Kumalizia au kuanza na MUNGU ni muhimu.

Kwa taratibu nyingi ingawa sio zote, muongeaji ni Mh. Rais
 
kama viongozi wengine wa dunia wanatoa hotuba izo ni vyema uwasikilize hao.
"Fimbo ya mbali haiuwi nyoka" mbona Mh. Rais ana uzalendo na mwenye busara. Au kwasababu sio mtu wa siasa?. Ni mpenda MUNGU mwenye mbegu ya upendo na mcheshi.
 
Kuna watu siku zote usiku na mchana wanasikia sauti ya Risasi na Mabomu wanatamani wasikie hatuba nzuri kama za Rais wetu Magufuli zilizojaa matumaini nyie mnasema hazifai. Ningekuwa na uwezo wote nyie mnaopiga majungu ningewapakia kwenye ndege niende niwadondoshe Syria tuone kama hamtaitamani Tanzania yetu.
Badulisha hata jina basi lisionekane direct hivyo kuwa la ki namalolo
 
Hivi kwani kuna ulazima wa yeye kuhutubia.??..unadhani atasema lolote la zaidi ya haya unayo yaona au unataka kusikia kaongeza ndege..??
Wajameni, sio Mwanamalundi tu ndiye atakaye pandaga ndege. Hata wamasae na walugulu pia wagogo na waKenya, wazugu na waalabu watapandaga na kupandaga pia kupandaga kwa kupandaga au kupandaga tundege tunavyo kujaga.
 
Nani kakwambia rais Magufuli hashauriki? Halafu nahisi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Kwa taarifa yako Rais Magufuli ni Rais wa watanzania wote na yuko tayari kushauriwa na kila mtanzania.
Hivi hii Tanzania unaishi wewe tu na familia yako kiasi kwamba sisi wengine ni misukule hatuoni yanayoendelea? mpuuzi Sana wewe.
 
Hivi hii Tanzania unaishi wewe tu na familia yako kiasi kwamba sisi wengine ni misukule hatuoni yanayoendelea? mpuuzi Sana wewe.
Mpendwa usikasirike, tabasamu hata kidogo. MUNGU ni PENDO nasi tuwe na tabia ya kupendana. Tuziweke tafauti zetu chini, ndio tunamalizia mwaka. Kama tulichukizana na tusamehanage.
 
Back
Top Bottom