LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 533
Ungeanza wewe kueleza hayo ambayo ame practise TL ambayo wewe unayaona muhimu, kama sivyo nawe ni kama JK kwa maana hoja yako haitoshelezi kutoa hukumu.
unapost angalau na wewe uonekane umepost. kinatusaidia nini hiki ulichopost?
Mheshimiwa JK unajidhalilisha sana kuponda mtu ambaye ana-Practice fani ambayo hujui lolote au unajua kidogo kuhusu fani hiyo!
Si unamjua tena mzee wa mipasho? Naona kila aKilala lazima amuote TLMheshimiwa JK,
Wewe ni mtu mkubwa sana na kila unaloongea linapewa uzito unaostahili! Jana umedai kuwa "Mwanasheria maarufu, Tundu Lissu anachanganya Sheria na anawachanganya na wengina nao wanamwamini!"
Ombi: naomba Mhashimiwa JK utuambie ni Sheria ipi ambayo TL alichanganya na kuwachanganya wengine!
Nahofia kwamba inawezekana uliyejichanganya ni wewe kwa kutokujua Sheria!
Au unaposikia akina Jaji Werema anaporusha madongo huko Bungeni unaamini kuwa madongo hayo yana ukweli wowote! Hata hivyo ulituambia kuwa akili za kuambiwa changanya na za kwako! Kwa hiyo nilikuwa natarajia kuwa angalau za kuambiwa/kusikia ungechanganya na za kwako! Otherwise unajidhalilisha sana kuponda mtu ambaye ana-Practice fani ambayo hujui lolote au unajua kidogo kuhusu fani hiyo!
Na wewe mtoa maada unajidhalilisha sana kumponda raisi ambaye ana-practice uraisi ambao hujui lolote au unajua kidogo sana kuhusu uraisi sababu hujawahi kuwa raisi.
Lissu ni reactionist, Much know ambaye 2015 asahau kurudi bungeni, wananchi wa Singida wamechoka naye hili analifahamu vizuri!
mkuu labda nikuulize, hii thead yako inatusaidia nini?Wewe huoni kuwa JK huwa ana kinyongo kisichoisha na Tundu Lissu utafikiri kuna hidden agenda? Rejea kauli ya kwanza kabisa kuwa ni afadhali Dr Slaa kuingia Ikulu kuliko Tundu Lissu kuingia Bungeni! This is too low for our President kufanya personal attacks na mtu binafsi!
makosa tuliyoyafanya ndiyo yanayotugharimu leo.tulisahau pwani yao ni taarabu.mipasho kwa jk ni jadi hatushangai wengi wa watu wa pwani ni maneno tu
mkuu labda nikuulize, hii thead yako inatusaidia nini?
Hii ni kali kuliko zote nini!!!