Ombi letu wanywaji(alcoholics)

asee hapa stii neno nina kili km 5 kichwani na moja mkononi! in fwakiti,im drinkingi beer to save water!!!!!!!!!
 
sasa hii bei ya bia inavyopanda wakati huduma za hospitali zimezidi kuwa mbaya maana yake nini.
 
Naanza na kuwapa pole sana wakata kilaji, leo ni siku ya pili bia aino zote zimepanda kwa nyongeza ya sh100 hadi 200.00. Nilipouliza kulikoni wengi walijibu umeme ndio umeleta balaa hili. nami najipa pole kwa kuwa huwa silari bila kupata, hii itapunguza idadi ya bia pamoja na wale waliozoea kuomba maana sasa itakuwa elfu 2000.00, kwa wale wenzangu wa "Afadhali nimekuona" wa pale Namanga Oysterbay na pale Mango Garden watakoma.
 
Jana nimeenda sehemu na ka40 changu nikiwa na washkaji zangu wawili. Nikajua tutapiga bia tano tano kwa bei yetu ya 1,800/= @ na kakuku ka kuzugia. Bili ilivyokuja nikabaki mdomo wazi,bia sh 2,000/=. JK at work!
 
Jana nimeenda sehemu na ka40 changu nikiwa na washkaji zangu wawili. Nikajua tutapiga bia tano tano kwa bei yetu ya sh 1,800/= @ na kakuku ka kuzugia. Bili ilivyokuja nikabaki mdomo wazi,bia sh 2,000/=. JK at work!
 

Bia zilizopanda bei ni zile zinazotengenezwa na kampuni ya TBL tu.
Nakushauri uangalie mbadala maana bia ni bia tu achana na mjina. Mnazi bado bei chini sana tu.
 
He he Yesu anawapenda okokeni haraka
 

Ha ha ha ha haaa silari!?
 
Maji ndo usiseme Uhai 5LT imetoka 1700 hadi 2200 sasa hii ni hatari
 
Neno alcoholic ni zito na halina maana ya mnywaji kama unavyojieleza wewe au mlevi(drunkard)
 
"Wine is a mocker, strong drink is a brawler, and whoever is led astray by it is not wise." (Proverbs 20:1, NKJV)

Whoever is led astray by it....kwahiyo si wote will be led astray
 
Kula bia upate akili!! Sisi hatugomi! Pandisheni tu bei msihofu! We run this country bana,mkifulia tu mnakimbilia bei za bia!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…