Quastion mark
Member
- Oct 18, 2012
- 48
- 4
Sheria mpya ziwekwe kuwabana wanaume wanaowanyanyasa wake zao,
question mark, au quastion mark?
Quastion mark kwan vp mkubwa?.question mark, au quastion mark?
we ni mkuriya nin? Maana mkurya mwanamke wa kikurya bila kukung'utwa na mume wake haon kama anapendwa,..hayo ni maisha ya kizaman tena ya kikolon sana Preta..me naona 2wachukulie sheria..mwanamke ni wakuheshimiwa na kudhaminiwa sana mkubwa.mi bila kunyanyaswa sienjoy mapenzi.....sijui nitasaidikaje......
me sinyanyaswi ila kuna rafki yang kaolewa bado ndoa changa lakin mwanaume wake anamnyanyasa kichz yan,.inaniuma sana had nikaona niltoe jf 2wajadli hawa wanaume wakatli.ndio hiyo hiyo.....vipi....kwani wewe unanyanyaswa......?
Sheria mpya ziwekwe kuwabana wanaume wanaowanyanyasa wake zao,
ndio hiyo hiyo.....vipi....kwani wewe unanyanyaswa......?