Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,929 May 29, 2012 #41 Mweeeeeeeeeeeeeee! Haya maneno some times mataaaaaaamuuuuuuuuuuu,sometimes uchungu wake bora ya mwarobani!
Mweeeeeeeeeeeeeee! Haya maneno some times mataaaaaaamuuuuuuuuuuu,sometimes uchungu wake bora ya mwarobani!
MAMMAMIA JF-Expert Member Feb 26, 2008 3,811 1,604 May 29, 2012 #42 Kabakabana said: nitonye hajafika home muda kweli sijui yuko wapi!nimemmiss kweli kaka'ngu Click to expand... Pengine yuko "Mahangaiko Store", mida ikifika ataingia.
Kabakabana said: nitonye hajafika home muda kweli sijui yuko wapi!nimemmiss kweli kaka'ngu Click to expand... Pengine yuko "Mahangaiko Store", mida ikifika ataingia.
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 May 29, 2012 Thread starter #43 Cantalisia said: Mweeeeeeeeeeeeeee! Haya maneno some times mataaaaaaamuuuuuuuuuuu,sometimes uchungu wake bora ya mwarobani! Click to expand... hahahaha canta mambo dia?rejao mzima?
Cantalisia said: Mweeeeeeeeeeeeeee! Haya maneno some times mataaaaaaamuuuuuuuuuuu,sometimes uchungu wake bora ya mwarobani! Click to expand... hahahaha canta mambo dia?rejao mzima?
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 May 29, 2012 Thread starter #44 MAMMAMIA said: Pengine yuko "Mahangaiko Store", mida ikifika ataingia. Click to expand... yaani namsubiria sana wee acha tu.
MAMMAMIA said: Pengine yuko "Mahangaiko Store", mida ikifika ataingia. Click to expand... yaani namsubiria sana wee acha tu.
Rejao JF-Expert Member May 4, 2010 9,220 4,059 May 29, 2012 #45 Kabakabana said: hahahaha canta mambo dia?rejao mzima? Click to expand... Nipo pouwa...I love Cantalisia..
Kabakabana said: hahahaha canta mambo dia?rejao mzima? Click to expand... Nipo pouwa...I love Cantalisia..
SALOK JF-Expert Member Sep 20, 2011 3,318 1,936 May 29, 2012 #46 Ni kwa kizungu tu au hata kwa kiswahili cha kibanyani? Mfano "mimi iko benda veve Kabakabana!" Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
SALOK JF-Expert Member Sep 20, 2011 3,318 1,936 May 29, 2012 #47 kabakabana said: hahahaha canta mambo dia?rejao mzima? Click to expand... rejao kala ban ya 5days leo ni siku ya tatu, hivi canta ulimtembelea leo huko jela?
kabakabana said: hahahaha canta mambo dia?rejao mzima? Click to expand... rejao kala ban ya 5days leo ni siku ya tatu, hivi canta ulimtembelea leo huko jela?
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 May 29, 2012 Thread starter #48 Rejao said: Nipo pouwa...I love Cantalisia.. Click to expand... dah umenipigia ya moja kwa moja haya mkuu.Mimi missed you sana
Rejao said: Nipo pouwa...I love Cantalisia.. Click to expand... dah umenipigia ya moja kwa moja haya mkuu.Mimi missed you sana
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 May 29, 2012 Thread starter #49 SALOK said: Ni kwa kizungu tu au hata kwa kiswahili cha kibanyani? Mfano "mimi iko benda veve Kabakabana!" Click to expand... khaaa hiyo lugha yako imefanana na ya watu wazamani. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
SALOK said: Ni kwa kizungu tu au hata kwa kiswahili cha kibanyani? Mfano "mimi iko benda veve Kabakabana!" Click to expand... khaaa hiyo lugha yako imefanana na ya watu wazamani.
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 May 29, 2012 Thread starter #50 SALOK said: rejao kala ban ya 5days leo ni siku ya tatu, hivi canta ulimtembelea leo huko jela? Click to expand... mhh una majungu wewe,mbona rejao huyo hapo juu?au kapewa msamaha?
SALOK said: rejao kala ban ya 5days leo ni siku ya tatu, hivi canta ulimtembelea leo huko jela? Click to expand... mhh una majungu wewe,mbona rejao huyo hapo juu?au kapewa msamaha?