TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Waheshimiwa Mimi Huwa naepuka aibu ya Kuomba omba, Naonelea Ni Bora Nife Na shida zangu. Lakini Kwa kuwa Hili ombi langu kwenu sio la Binafsi? Naona tu Ni bora niingie kwenye aibu ya Kuomba.
Ninachoomba sio Unreasolable, wala sio favor really! Naomba tu Muwaache Vyama Vingine Vikae kwa Uhuru na Wananchi wakiwachagua Msiwabugudhi. Nchi itakuwa ya raha na "Mtaendelea na Mnachokiita hapa kazi tu", Na hasa swala la Umeya wa Da es salaam ningeomba muruhusu uchaguzi ufanyike na Msijaribu kuruhusu hila kutoka Upande wenu Hilo tu. That is Not too much to ask, Thank y'all.
Ikionekana Ni Vigumu, Kesho na Keshokutwa kuna mambo sitaki Nilaumiwe Nikiyaweka hadharani, Mzee wa watu sitaki tusukumane, Kutafutiana Ubaya, 1) Si mnajua ile issue ya Mikataba ya Gesi na Mafuta? hasa wale wajamaa watatu wale? Na Zile akaunti za adv. payment zilizofuunguliwa nchi 4 tofauti ikiwepo Ujerumani?, Si Mnajua Issue ya Ulimboka na Ujumbe mzito uliomtembelea kwenye Matibabu A. Kusini?, Na Hoteli aliyowekwa Siku chache Baada ya Kutoka Hospitalini? Na Kamzigo alikopewa?
Sasa Kusukumana Kutakiana Ubaya Nini, Mnajua hamtafuti Madaraka Kwa Nguvu Kwenda Kununua Vitanda Muhimbili au Kununua Madawati ya Watoto. Haya Nimewapa fununu tu msinidissapoint. Natanguliza shukurani! Wowo-wo Kidogo Ningesahau, Hakuna Kitu Kinanikasirisha kama Nikiwa Ignored, hako ndiko kaudhaifu kangu!