Ombi la kutafuta ajira

Spice islander

New Member
Mar 28, 2018
2
1
Wakuu habari yenu.. Samahani, kuna mdogo wangu anatafuta kazi,ni jinsia ya kiume,ana miaka 21,amemaliza form four,ni mcha Mungu,ni mtiifu.
Alikuwa anaomba kupata kazi kama ya kuuza duka, stationery,bar tender,spa tender,beach boy,internet cafè.
Yupo Longido,Arusha. Namba zake ni 0758579097. Tafadhali mwenye uhitaji wa mfanyakazi au fursa ya ajira nilizotaja hapo juu naomba wasiliana nae au wasiliana nami kwa namba 0678711329. Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom