Ombi la kusaidiwa

Ombi la kusaidiwa

Ninashukuru kwa maoni yenu. Kuhusu vielelezo, naomba mnipe muda niombe smartphone ili nipige picha nitavi-upload hapa. Kadhalika huyu mwanaJF uliyeomba risiti za mwaka wa kwanza hadi sasa zingine zipo nyumbani. Hapa ninazo za semester iliyopita tuu. Asanteni
Ok.
Fanya hayo mengine yanayostahili.
 
Attachments

  • IMG_20180510_202515.jpg
    IMG_20180510_202515.jpg
    84.6 KB · Views: 35
  • IMG_20180510_202553.jpg
    IMG_20180510_202553.jpg
    87.2 KB · Views: 38
  • IMG_20180510_202530.jpg
    IMG_20180510_202530.jpg
    82.1 KB · Views: 44
Asante Mkuu.
Hatua ninazochukua usiku huu ni Ku visit website ya hicho chuo ili nipate full contact zao na kufanya mawasiliano nao ya moja kwa moja.

Pia kuna kijana yupo hapo mwaka wa pili sasa,akichukua Economy nitajaribu kuwasiliana nae kesho asbh ili anisaidie zaidi kuliangalia jambo hili.

Pole sana Mkuu.
 
ubarikiwe sana mkuu ,kwa moyo huo ,
nimefarijika sana kuona unaonyesha nia ya kumsaidia mwenzetu, najua maumivu aliyonayo nimewahi kupitia wakat kama wake.
Nakuombea tena na tena uzid kufanikiwa mkuu.
 
ubarikiwe sana mkuu ,kwa moyo huo ,
nimefarijika sana kuona unaonyesha nia ya kumsaidia mwenzetu, najua maumivu aliyonayo nimewahi kupitia wakat kama wake.
Nakuombea tena na tena uzid kufanikiwa mkuu.
Karibu na wewe pia kwa kuwa unajua maswahiba haya...,
 
Unaweza kuwàsiliana nao kwa kupitia web yao www.saut.ac.tz au email yao sautmalimbe@saut.ac.tz au 255-28-2552725, 2550269,2550166 FAX 255-28-2550167
Asante sana Mkuu nimeshakutana na hizo contact japo ulikuwa unatakiwa ufanye toka mwanzo ili kuturahisishia.

Nikishafanya mawasiliano nao na kupata udhibitisho kwao nitafanya nitakachoweza aidha kwa acc yako au ya chuo moja kwa moja.

Asante.
 
Nitashukuru sana ndg. Ninakushukuru kwa kuonyesha nia ya kweli ya kunisaidia. Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom