Ombi la kukutembelea Pasaka.

Ombi la kukutembelea Pasaka.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndugu yako wa karibu na ni Mtanzania halisi. NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU HII YA PASAKA. Nina uzoefu wa kula vizuri pasipo kudondosha hata chakula kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nina uwezo mkubwa sana katika hili na nina HOTPOT maalum ya kuchukua vyakula vitakavyobakia hasa NYAMA, sina aleji na chakula chochote.
Wako katika misosi.
 
Karibu. Mbona utaipenda utakuwa kama sungura enzi zile darasa la 3 "SIZITAKI MBICHI HIZI"
 
Back
Top Bottom