Mtoto halali na hela kimya kimya mbaya sana
Nitafutie mume huku pls
hahaha roho wako unamwamini
Mamndenyi keshazoea kuachwa ndo maana haoni tabu, yeye leo anapata kesho anatoswa sawa tu.
We Slave kudumu kwa ndoa ni juu ya upendo kwa wahusika tu,
mkeo alikuwa ni everlyn?
kama nakumbuka vizuri
Nitake radhi.
We unayo??
sijui anatufundisha nini sie serengeti boys. nasikia anataka kurudiana na Vin DieselMamndenyi keshazoea kuachwa ndo maana haoni tabu, yeye leo anapata kesho anatoswa sawa tu.