Ombi la ku apdate ndoa

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=132285&stc=1&d=1389695828


Kwako baba mwenye nyumba hii ya chit-chat Baba V na kamati yako nzima ya mahusiano, kwanza poleni na majukumu,. Nikiwa kama raia halali wa chit-chat ningependa kutumia haki yangu ya kikatiba kusema lililopo mtimani.
Kifupi ni kwamba ndoa za humu hazidumu (mimi mmoja wao)
binafsi nimejiuliza nikaona kuna mapungufu kadha wa kadhaa yanayo pelekea ndoa kutokudumu.

1.hakuna sheria kali zinazowabana wana ndoa
2.garama za ndoa ni ndogo kiasi kiasi cha wanandoa kuona ndoa zao hazina samani.
3.kutoku apdate ndoa (hili ni muhimu) tumezoea kuona na kusikia wana chit chat waki apdate miaka yao ya kuzaliwa hili hufanyika kila mwaka (birthday)

Hivyo basi kwa heshima na taadhima naomba uanzishwe utaratibu wa kuapdate ndoa.

copy kwa ndugu na jamaa zangu Mamndenyi Munkari Mzee Jiwe Linaloishi gfsonwin Mwalu mwaJ Chimbuvu stevon marejesho Filipo Arushaone
Copy kwa familia ya watu8 na wanae Lady doctor FirstLady sweetlady passionlady ladyfurahia
 

Attachments

  • hh.png
    104.7 KB · Views: 147
Last edited by a moderator:
kaka mkubwa kiwatengu mpaka sasa sasa nimeona ni bora nilizungumze hili, ujue sie wazee tukipataga serengeti boy huwa tunasumb
 
Last edited by a moderator:
manyoya tayari yameshanyonyoka tayari
 
Umenena vizuri ila yangu na my preety haitovunjika.itadumu kama ya arusha one na ladydoctor na zaidi yahapo
 
Naona humu JF kila mutu ana mke/mme, ngoja niongozwe na roho mtakatifu halafu nitaleta application zangu
 
Tatizo tunaoana na watu tusiowapenda kwa show off tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…