Ombi la kazi ya ualimu

Ombi la kazi ya ualimu

Degalatia

Member
Joined
Nov 8, 2018
Posts
13
Reaction score
13
Habari,

Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration.

Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo

Advanced Level
-Economics & General Studies

O-level
-Commerce & Civics

Primary schools
-Science, Social Studies & Health Care

Mawasiliano yangu ni
+255679106269
+255753376495

Kwasasa napatikana Dar es Salaam Na nipo tayari kufanya kazi mahali popote.
Naomba nisaidie kushare.

Asante
 
Naomba nisaidie kushare
Asante
 
Kila la kheri kwako na ukafanikiwe juu ya hilo.
 
Uwe unaperuzi website za serikali kama TAMISEMI na wizara ya elimu huwa wanaweka tangazo la ajira za ualimu,pia kuna mashirika kama reli wana shule zao,kuna mashirika ya dini na taasisi binafsi huhitaji walimu.Wakati mwingine uwe na moyo wa kujitolea ikibidi maana huko ndiyo unajipatia nafasi ya ajira
 
Habari,
Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration.
Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo

Advanced Level
-Economics & General Studies

O-level
-Commerce & Civics

Primary schools
-Science, Social Studies & Health Care

Mawasiliano yangu ni
+255679106269
+255753376495

Kwasasa napatikana Dar es Salaam Na nipo tayari kufanya kazi mahali popote.
Naomba nisaidie kushare
Asante
Nilikua kama wewe miaka kadhaa iliyopita. Sahz niko napambana na maisha mengine ,Kaza buti kijana
 
Peleka CV baobab wanahitaji mwalimu wa GS/CIVICS.
 
Back
Top Bottom