Haha hahaaaaaaa...ndiyomaana hatufikagi popote pale ktk medani za kimataifa zaidi ya kubakia hapa hapa Bongo kwa imani zetu za kijinga hizi.
Bangi mbaya sanaUpo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .
Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati
Nakala - Ismail Aden Rage
Simba tuna timu gani ya kupambana na club kama Vita? Ujue tusitake kuona hako katimu kama Barcelona au Manchester City.
Usiwe na ushabiki wa kishamba hatuna timu ya ushindani kama unavyodhani.
Ulijua Simba atamfunga AS Vita? Uwe unatumia akili vizuri basi, siyo kisa una mahaba na Simba basi hata akili nazo uwape.
Mimi huwa ni shabiki msema ukweli sina konakona kama nyoka.
SIMBA HATUTAPATA POINT HATA MOJA KWENYE MECHI ZA UGENINI. Ukitaka meza ukiona chungu tema.
Kama ni hivyo uchunguzi uanzie kwa mchina! Wale waarabu na Mbabane huenda na nyie mliwafanyie isivyo!Kwanini usiache uchunguzi ufanyike ili ukweli ujulikane mkuu ?
Hata yule mandevu Wawa umri umeenda akikutana na mshambuliaji mwepesi na mwenye kasi huwa anapata tabu sana!Okwi umri umeenda sana na Boko, tatizo huwa hatupendi kuyapokea mapungufu yetu badala ya kutanguliza ushabiki na mahaba mbele hasa kwa kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mwenye ufahamu aelewe kwamba hawa vita ni finalists wa mwaka Jana. Sasa manara duuuu na waswahili wenzako wanashindwa kutumia akili kidogo ili nyingine wafanyie mambo mengine....duuuYule msemaji ni kilaza sijapata kuona. Anavyoichukulia Simba ni kama anaona ni timu kubwaaa kuliko hata hao washindani wake.
As Vita inajua mikikimikiki ya michuano ya CAF na imefanikiwa kwa kiasi kikubwa na iko mbali sana kuliko timu yetu ila ushabiki wa upofu unatudanganya kuwa tunaweza kwenda Kongo na tuje na matokeo...
Hata tukienda Algeria wale waarabu tuliodhalilisha hapo Taifa watashangaza wengi kule kwao. Hakuna timu pale.
Du!SIMBA HATUTAPATA POINT HATA MOJA KWENYE MECHI ZA UGENINI. Ukitaka meza ukiona chungu tema.
Uchunguzi UPI? Anaufanya nani na kwa sababu IPI? kila siku nyinyi tuu kulalamika? Mmekuwa kama mtoto wa kufikia.Kwanini usiache uchunguzi ufanyike ili ukweli ujulikane mkuu ?
Kasumbalesa imefanya kazi kusuguliwa Bao tano lazima uchubuke.Damu kibwaaaaaaooooohayo ya kuchubuliwa ya nini tena mkuu ?
Mechi mpaka imeisha sijaona mchezaji wa simba akipiga tackling hta mara moja... Ni km walikuwa hawana mood na gameSimba jana walikuwa wazito. Wanakaba kwa macho, free headers, lack of concentration!
Isiwe tabuSita mtungi ni zaidi ya kipigo cha mbwa koko!!!! Pole zenu simba!