Areus
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 324
- 403
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa jitihada kubwa ya keendelea kupanua miundombinu ya umeme vijijini. Ni kweli dhamira kuu ya serikali ni kuifikisha nchi yetu kwenye uchumi wa kati. Na hiyo imeonekana kwa kuendelea kusambaza umeme vijijini ili wananchi waweze kuwa wabunifu kuibua viwanda vidogo vidogo vitavyosaidia kukuza uchumi wa Taifa letu
Lakn serikali yangu sikivu kupitia kwa Waziri wa nishati tazameni menejimenti nzima ya Tanesco Mtwara ili muweze kubaini tatitizo la ukatikaji wa umeme mara kwa Mara Ni techincal problems au Ni kukosekana kwa uwajibikaji wa watendaji wetu wa Shirika Hili la Tannesco.
Kumekuwa na tatizo la ukatikaji wa umeme Mara kwa Mara katika halmashauri ya mtwara wakati mwingine hadi siku Saba bila taarifa yoyote inayotolewa ya sababu ya kukatika umeme kitu kinachosababisha shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii kukwama kwa wananchi wa maeneo hayo hasa line ya mpapura kuelekea vijiji vya kitere. Hata ninapoandika ombi Hili umeme haupo unakuja dakika mbili unakata na wakati mwingine hata siku Saba
Kwahiyo ombi kwa wizara yenye dhamana juu ya Hili itazame vizuri TANNESCO mtwara kuona tatizo liko wapi ili ufumbuzi upatikane shughuli za kiuchumi za watu maeneo hayo ziendeleee.
Nitashukuru km ombi langu litafanyiwa kaz Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app