Ombi kwa Serikali kuhusu tatizo la kukatika katika umeme Mtwara Vijijini

Areus

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
324
403
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa jitihada kubwa ya keendelea kupanua miundombinu ya umeme vijijini. Ni kweli dhamira kuu ya serikali ni kuifikisha nchi yetu kwenye uchumi wa kati. Na hiyo imeonekana kwa kuendelea kusambaza umeme vijijini ili wananchi waweze kuwa wabunifu kuibua viwanda vidogo vidogo vitavyosaidia kukuza uchumi wa Taifa letu

Lakn serikali yangu sikivu kupitia kwa Waziri wa nishati tazameni menejimenti nzima ya Tanesco Mtwara ili muweze kubaini tatitizo la ukatikaji wa umeme mara kwa Mara Ni techincal problems au Ni kukosekana kwa uwajibikaji wa watendaji wetu wa Shirika Hili la Tannesco.

Kumekuwa na tatizo la ukatikaji wa umeme Mara kwa Mara katika halmashauri ya mtwara wakati mwingine hadi siku Saba bila taarifa yoyote inayotolewa ya sababu ya kukatika umeme kitu kinachosababisha shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii kukwama kwa wananchi wa maeneo hayo hasa line ya mpapura kuelekea vijiji vya kitere. Hata ninapoandika ombi Hili umeme haupo unakuja dakika mbili unakata na wakati mwingine hata siku Saba

Kwahiyo ombi kwa wizara yenye dhamana juu ya Hili itazame vizuri TANNESCO mtwara kuona tatizo liko wapi ili ufumbuzi upatikane shughuli za kiuchumi za watu maeneo hayo ziendeleee.

Nitashukuru km ombi langu litafanyiwa kaz Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni mkoa mzima wa mtwara..umeme umekua tatizo yani ikipita siku haujakatika ni kama maajabu..Rais JPM ebu angazia jicho lako huku Kusisni..umeme umekua chanzo cha kuturudisha kwenye umasikini..viwanda na bishara zetu zinaenda kufa mana hakuna uzalishaji kwa sababu ya kukosa umeme wa uhakika.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa jitihada kubwa ya keendelea kupanua miundombinu ya umeme vijijini. Ni kweli dhamira kuu ya serikali ni kuifikisha nchi yetu kwenye uchumi wa kati. Na hiyo imeonekana kwa kuendelea kusambaza umeme vijijini ili wananchi waweze kuwa wabunifu kuibua viwanda vidogo vidogo vitavyosaidia kukuza uchumi wa Taifa letu

Lakn serikali yangu sikivu kupitia kwa Waziri wa nishati tazameni menejimenti nzima ya Tanesco Mtwara ili muweze kubaini tatitizo la ukatikaji wa umeme mara kwa Mara Ni techincal problems au Ni kukosekana kwa uwajibikaji wa watendaji wetu wa Shirika Hili la Tannesco.

Kumekuwa na tatizo la ukatikaji wa umeme Mara kwa Mara katika halmashauri ya mtwara wakati mwingine hadi siku Saba bila taarifa yoyote inayotolewa ya sababu ya kukatika umeme kitu kinachosababisha shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii kukwama kwa wananchi wa maeneo hayo hasa line ya mpapura kuelekea vijiji vya kitere. Hata ninapoandika ombi Hili umeme haupo unakuja dakika mbili unakata na wakati mwingine hata siku Saba

Kwahiyo ombi kwa wizara yenye dhamana juu ya Hili itazame vizuri TANNESCO mtwara kuona tatizo liko wapi ili ufumbuzi upatikane shughuli za kiuchumi za watu maeneo hayo ziendeleee.

Nitashukuru km ombi langu litafanyiwa kaz Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi mpendwa mteja wetu

Tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa hatua zaidi

Mtwara mbali, waambie mafundi wenu na Menejimenti ya Mbagala kuwa kuna watu leo wana siku ya pili hapo KIJICHI hawana umeme!

Tatizo inasemekana lipo eneo linaitwa NJIA YA NG'OMBE ndipo pana junction!

Utakuja kuniomba namba JF
 
Si ndio hapo na mm namshangaa uyo mtanesco kuomba namba huku kimara kila saa wanakata umeme mbona mvua zinanyesha vyanzo vya maji vinajaa wao sijui ni nini wanakera sana hawa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Akipewa malalamiko lazima aombe namba. Sasa mtu ashaelezea vizuuuuri na tatizo sio la mmoja ni la jamii bado anaomba namba!!!
 
Back
Top Bottom