Ombi kwa Serikali: Ipandishe mishahara kwa watumishi waliopandishwa madaraja

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Hakika inasikitisha sana kuona bado hata wale WALIOPANDISHWA MADARAJA na barua zao kutakiwa kurekebishwa na Katbu Mkuu Utumishi mpaka Leo Hawajarekebishiwa mishahara yao.Barua hizo zilitakiwa zisomeke Novemba 2017 na tayari zimesomeka.Tunaiomba Serikali isikie Ombi hilo.
 
Mkuchika acha usanii, wewe ni serikali pia,waziri ni sehemu ya muundo wa serikali,ongea na wenzako ,kwa maana wakubwa zako kiofisi une namna ya kutatua changamoto hiyo,ukishirikisha wataalamu ndani ya wizara yako,sio kukimbilia kujihami
 
Sasa hv serekali ina mambo mengi sana ya kushughulikia, wapeni muda. Sasa hv wanakomesha wapinzani kwanza
 
Hebu tulia, uhakiki bado unaendelea. Ambaye hawezi kuvumilia na anaona mshahara haumtoshi aache kazi na akatafute kazi nyingine. Sipangiwi!!
 
Back
Top Bottom