Ombi kwa Lema: Utakapopata Fursa ya kuongea na wana Arusha usisiahau hili la Rambirambi

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Kupitia maelezo ya Mkuu Wa mkoa wa Arusha aliyoyatoa Jana kuhusiana na rambirambi zilizotolewa na watu walioguswa na msiba huu mkubwa kwa taifa, watakubaliana na Mimi kuwa ingekuwa nchi za wenzetu kuna watu wangekuwa ndani mpaka sasa.

Nimuomba mh. Lema atakapopata Fursa ya kuzungumza na wanafamilia yake yaani wanaarusha kwa ujmla waeleze hiki kilichofanyika chini ya Mkuu Wa mkoa

Ni matumaini yangu kuwa ombi langu kwa mbunge Wa Arusha litafanyiwa kazi ingawa limetoka kwa mwanaccm

Nawasilisha
 
CCM huwa wanafikiria nini??kila mtu awe analalamika juu yenu hadi rambi rambi???Hii kweli tunaisoma namba
 
Kumlaumu Mkuu wa Mkoa kwa hiki alichofanya ni wendawazimu. Mlitaraji angefanyaje? Kama ninyi chadema mmeku,a rambrambi ya Alfonce Mawazo, mnadhani na CCM tunafanya hivyo?
 
Nataka nifanye research kidogo hivi mtu ukiwa ccm lazima uwe katili au mwizi sijui kuna mahusiano yapi Kati hivi vitu viwili na uccm, inasikitisha sana uhuni waliofanyiwa wafiwa, ina maana jeshi siku hizi linafanya biashara ya mazishi, nyie ccm nawauliza mliambiwa na wafiwa kua wanataka mbwembwe zote hizo za kwenda uwanjan? mliwauliza kwanza au mliamua wenyewe laiti kama wazazi wangejua wanayafanya hayo kwa gharama zao sidhani kama wangekubari upuuzi wenu huo, nawaombeni ccm rudisheni rambirambi za watu, kwanini mnataka kumtukanisha rais na raia wake
 
Jamani Mimi sijamsikia huyo gamboshi amesemajeje?? Wamekula tena rambirambi za watu??? Heee Yale Yale ya bukoba eeeee??? CCM ni ma-agent WA shetani-ibilisi!
Inasikitisha Na inauzi ndugu yani serikali Yetu sasa katika majanga na matatizo ya kitaifa yenyewe imekuwa msimamizi tu sisi wanainchi Pamoja na tasisi binafsi tuchange pesa zetu ajiri ya kufariji ndugu zetu serikali inatuona wapumbafu inatumia hizo pesa

Arusha tunambiwa michango ilikuwa mil 215 lakini katika hiyo 215 mil eti milioni 190 zimeshugulia msiba si ubashite huu kwaiyo serikali ilijipanga pesa za rambirambi zikija ndio zinunue mageneza, zilipie guest wageni wakiserikari waliokuja arusha no kiukweli inauzi next time watanzania hawatatoa misaada
 
Nyalandu alifanya la maana kuwatafutia wale watoto wa 3 majeruhi fursa ya kwenda kutibiwa nje chini ya gharama ya Samaritan otherwise hawa wala rambi rambi wangewapa stress na huduma mbovu ili wafe wapate cha kupata, M/Mungu awainue vijana wale washinde mauti
 
serikali imetoa kiasi gani kama rambirambi ? hasa ofisi ya mkuu wa mkoa na ikulu?
 
CCM ni wapigaji, usikute huyo Gamboshi mwenyewe kunauwezakano hakuchangia hata mia.
 
Hahahahaha nahc yatakua ni maagizo toka magogoni, cjasikia kabxa yeye na serikar yake wametoa sh ngap kama rambirambi
 
Kama kawaida [HASHTAG]#Lizaboni[/HASHTAG] ushajitokeza kutetea jahazi lisizame.
 
Hata mm nimeshangaa sana,mbwembwe zote zile kumbe hamna kitu. Hata hivyo gharama zilizotumika ni kubwa sana nahisi kuna upigaji pia umefanyika.
 
Ha ha haa,upigaji hautakaa uishe serikalini.awamu hii ni ufisadi wa rambirambi,watu wanakamua tu bila huruma.
 
Kupitia maelezo ya Mkuu Wa mkoa Wa Arusha aliyoyatoa Jana kuhusiana na rambirambi zilizotolewa na watu walioguswa na msiba huu mkubwa kwa taifa, watakubaliana na Mimi kuwa ingekuwa nchi za wenzetu kuna watu wangekuwa ndani mpaka sasa.
Nimuomba mh. Lema atakapopata Fursa ya kuzungumza na wanafamilia yake yaani wanaarusha kwa ujmla waeleze hiki kilichofanyika chini ya Mkuu Wa mkoa

Ni matumaini yangu kuwa ombi langu kwa mbunge Wa Arusha litafanyiwa kazi ingawa limetoka kwa mwanaccm

Nawasilisha

Kumlaumu Mkuu wa Mkoa kwa hiki alichofanya ni wendawazimu. Mlitaraji angefanyaje? Kama ninyi chadema mmeku,a rambrambi ya Alfonce Mawazo, mnadhani na CCM tunafanya hivyo?
Huwa nawatizama tu nyie watu....huwa nawatizama kwa makini
 
Ndiyo maana Mbowe alisema rambi rambi za wana chadema atazipeleka kwa wanafamilia moja kwa moja....Eti pesa wachange wasamaria wema walioguswa na msiba kwa ajili ya pole kwa wafiwa mkuu wa mkoa anasema amezitumia hizo pesa kuwekea mafuta kwenye magari ya serikali kwa ajili ya shughuli siku ya kuaga miili pale uwanjani..
 
Hakuna rambirambi iliyoliwa na mtu tofauti na matumizi ya msiba.

Na kwa yule anayeona au aliyeona pesa yake italiwa angepeleka kwa wafiwa mwenyewe hakuna aliyemzuia mtu.

Mamlaka imefanya kazi yake kwa kuhakikisha malaika Watoto tuliowapoteza ktk moja ya ajali mbaya kabisa kwa Watoto nchini wanapata heshima yao kitaifa.

Kila mmoja aliwajibika kwa kadri ya uwezo wake na kujitoa kwake na hakuna was kulaumiwa.

MUNGU na wape nguvu wazazi wa Watoto waliofariki ili waweze kurudi ktk hali zao kiimani na kisaikolojia na maisha yaendelee.
 
Nataka nifanye research kidogo hivi mtu ukiwa ccm lazima uwe katili au mwizi sijui kuna mahusiano yapi Kati hivi vitu viwili na uccm, inasikitisha sana uhuni waliofanyiwa wafiwa, ina maana jeshi siku hizi linafanya biashara ya mazishi, nyie ccm nawauliza mliambiwa na wafiwa kua wanataka mbwembwe zote hizo za kwenda uwanjan? mliwauliza kwanza au mliamua wenyewe laiti kama wazazi wangejua wanayafanya hayo kwa gharama zao sidhani kama wangekubari upuuzi wenu huo, nawaombeni ccm rudisheni rambirambi za watu, kwanini mnataka kumtukanisha rais na raia wake
Ina maana ccm wamekula hii rambirambi in the name of gharama za mazishi?
 
Back
Top Bottom