Ombi kwa Bernard Membe

Sasa akatae kwani chama chake???
Kilichompeleka chadema ni kugombea uraisi na si vinginevyo. Kuhusu chama kuwa chake sina hakika lakini niliwahi kusikia aliuziwa
 
Pesa za Libya hizo jengeni kiwanda kilichokusudiwa pale Lindi acheni mambo hayo
hata kama alikula hizo hela, lakini ukweli uko palepale, kamzidi jamaa mbali sana kwa kila kitu, angelikuwa rais tungepiga hatua haraka sana.
 
Wapinzani mnaomba MwaCCM ahamie upinzani kugombea urais halafu bado mna amini mtaingia ikulu 2020!!!
 
membe ana mapungufu mengi sana, lakini ndiye rais bora kuliko wanaccm wooote, kwanza anajua kiingereza, elimu yake sio magumashi, ana utaalamu na diplomasia, ni afisa usalama wa taifa, halafu ana akili.
Kwahyo rais wa tz lazima ujue kiingereza ?
Hatarii.msomi wa chuo kikuu, kazi ipo kama mtu anatukana lugha yake vip kuhusu baba yake na mama yake atawatukana tu
 
Kwahyo rais wa tz lazima ujue kiingereza ?
Hatarii.msomi wa chuo kikuu, kazi ipo kama mtu anatukana lugha yake vip kuhusu baba yake na mama yake atawatukana tu
tangu umezaliwa hadi leo, kiswahili kimekusaidia nini hadi ujivunie? najua kiingereza kimekupa kazi. interview ulifanya kwa kisukuma au kimombo?
 
Hujafa hujaumbika kijana, muogope Mola wako maana aliyekupa wewe uzima ndiyo aliyemnyima yeye! Acha kabisa kiburi cha uzima ndugu yangu tena nenda katubu na usirudie tena kosa!
Acha kumtisha wewe kwani we pia si ulimuita fisadi alipokuwa CCM???
 
NAPE
 
Lowassa alichafuliwa na chadema kwa miaka nane toka pale mwembeyanga kuwa ni fisadi!
 
UNAHITAJI KUHOJIWA NA WEWE VYETI VYAKO BUNGENI
 
Nathaniel mtoa post mawazo yakohayohayo ungesema tumuombe Dr silaa aanze mapema kabla hata ya kampeni, for sure ushindi ni asubuhi .
 
Uzi huu usambazwe nchi nzima ili wananchi na dunia nzima na chadema wenyewe wajue kuwa ndani ya chadema hakunaga MTU Wa kuhombea mpaka waazime CCM!!kwa hiyo chadema siyo chama Bali sakosi ya MTU!!
 
Tatizo sio uzi, tatizo ni kwamba JPM hapendwi karibu kila kona ya nchi. Wananchi wamemchoka mapema kuliko ilivyo kawaida na sasa wanatafuta anayeweza kukidhi haja.
 
Meembe akijipanga akiongea unaweza uliye kwa kumwamini anajuwa kutengeneza huruma sana na ushawishi ni kati ya watu ambao ukiwapa nafasi ya kujieleza wanakuondoa kwenye mstari🙂🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…