Matako yenu, fungulieni kwanza sauti huru za wananchi kama jamii forums ili haki ya upashanaji habari tuweze ifurahia.Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
ina maana Chura Kiziwi Amesikia na kuwa sasa Siyo Kiziwi tena?Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Hakuna maandamano wewe, nkuambie mara ngapi?Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijingaPumbav!
Tutaendelea kuandamana hadi jini Samuya atoke kwenye chupa, akamatwe na anyongwe pale Kariakoo.
Hawezi kuuwa watanzania zaidi ya waliouwawa kwenye vita ya Kagera halafu tumchekee.
Pia, kamwe hatutasamehe askari mashoga waliouwa ndugu zetu.
Hii vita bado mbichi.
Sauti ambayo ilishasikika ni kubwa sana. Kishindo chake Bado. Naamini mabadiliko yatafanyoka kuzuia migogoro mwingine huko mbeleni. Kwa sasa tujenge nchi yetuPumbav!
Tutaendelea kuandamana hadi jini Samuya atoke kwenye chupa, akamatwe na anyongwe pale Kariakoo.
Hawezi kuuwa watanzania zaidi ya waliouwawa kwenye vita ya Kagera halafu tumchekee.
Pia, kamwe hatutasamehe askari mashoga waliouwa ndugu zetu.
Hii vita bado mbichi.
Hilo nalo ni tatizo Siwezi watetea katika hilo.Ujumbe umeshatumwa lkn serikali haijajifunza bado kama ni utekaji ndio umeongezeka na unafanyika wazi kuwaambia wananchi kuwa mtafanya nini.
Nyinyi ndiyo mnaowapotosha watawala. Huwezi zuia maandamano kwa bundukiHakuna maandamano wewe, nkuambie mara ngapi?
Mnaweka road blocks za nn km mnajiamimi hakuna maandamano?Hakuna maandamano wewe, nkuambie mara ngapi?
Bado bado hawajaachia madaraka waliyoyapata kwa mtutu wa bunduki? Mbona bado wanateka watanzania wenzetu?Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Kwa hiyo kama yalikuwepo kwa marais waliopita hatuna haki tena ya kuyadai?Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijinga
Hakuna hiyo! Hawa watu ni vichwa ngumu. Waondokeeeee .....!!Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Exactly.Ujumbe umeshatumwa lkn serikali haijajifunza bado kama ni utekaji ndio umeongezeka na unafanyika wazi kuwaambia wananchi kuwa mtafanya nini.