squareroot
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 118
- 24
Mwezi ndio mkombozi, haya ya siku 10 wengi yatatushinda.
Hata mimi nitahama loh
Mwezi ndio mkombozi, haya ya siku 10 wengi yatatushinda.
Hata mimi nitahama loh
Sasa jamani mb 400 kwa mwezi inafaa nini,sidhani kama mnaongea ukweli hiyo mb 400 hata kwa siku kumi ni ndogo sana,wangapi humu ndani wanaweza wakatumia mb 400 mwezi mzima,wanyooshe mkono juu!!Mwezi ndio mkombozi, haya ya siku 10 wengi yatatushinda.
nakuja mkuuhamia zantel. 1500 tsh. kwa mwezi mzimaaaa. zantel ndio mpango mzima kwa sasa ktk internet.
Mwezi ndio mkombozi, haya ya siku 10 wengi yatatushinda.
Daah.. hzo 400mb.. z da only reason i hv my airtel line mpaka..leo...
Sasa jamani mb 400 kwa mwezi inafaa nini,sidhani kama mnaongea ukweli hiyo mb 400 hata kwa siku kumi ni ndogo sana,wangapi humu ndani wanaweza wakatumia mb 400 mwezi mzima,wanyooshe mkono juu!!
Sasa jamani mb 400 kwa mwezi inafaa nini,sidhani kama mnaongea ukweli hiyo mb 400 hata kwa siku kumi ni ndogo sana,wangapi humu ndani wanaweza wakatumia mb 400 mwezi mzima,wanyooshe mkono juu!!