Kumekuwa na upotoshaji kuwa Balozi wetu mpendwa Ombeni Sefue ameachishwa mkataba. Hii si kweli watu inabidi wadadisi kabla ya kukimbilia kutoa maoni yasiyo halisia. Ukweli ni kwamba mkataba wake ulikuwa unaisha Nov 2015. Mh Rais akamuomba amsaidie katika kipindi cha mpito hasa katika kupanga safu inayoweza kuleta tija, ndo hapo akawa ameongezewa miezi Mitatu.
Kwa bahati mbaya wakati anajiandaa kuondoka kwa ajili ya mkataba kuisha kukawa na mambo yanafumuka ya uongo kama yale ya kuwa kavunja bodi ya NSSF, Kashfa kutoka kwa Mbowe kuwa Sefue ni Jibu na mengineyo yaliyojitokeza. Haya wala hayana ukweli wowote na ndio maana hakuna ailyeweka ushahidi wa wazi juu ya tuhuma husika.
Wakati wa kipindi cha mpito Mh Rais aliendelea kushaurina na marais wastaafu, mtu muhimu wa kumsaidia na ndio huyo Balozi Kijazi akaonekana kupata support kubwa kuliko wenzake walikuwa wakifanyiwa vetting muda mrefu.
Na kuonyesha kuwa hakutumbuliwa ndio maana hata jana alikuwepo ktk kumuapisha katibu mkuu kiongozi mpya kwani amekuwa sehemu ya kuendesha mchakato wa kupata mtu wa kuchukua nafasi yake.
Waandishi wa Habari na Wasomi wa kitanzania lazima tufanye utafiti kujua ukweli kuliko kukimbilia kusema uongo unaopelekea watu kupanic bure.
Jua Sefue na Magu ni Marafiki wakiunganisha na ze Nkapa.
Asanteni