Mtu wa Majira na Nyakati
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 980
- 2,870
Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
Bogus wewe....kama uzee ndio huo wa kutukana wenzio basi ni upuuzi mtupu...ukitaka kuheshimiwa na wewe chunga mdomo....usitegemee uongee ujinga alafu watu wakae kimya Never..Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.