mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Suala la kuwepo ombaomba mijini na Serikali kutokuwa na mikakati ya kudumu kukabiliana nalo, nalileta kwa majadiliano. Hii ni baada ya kufanya marejeo ya bandiko kadhaa humu JF:
Tatizo la ombaomba jijini Dar
DAR: Ombaomba 60 wakamatwa, kufikishwa mahakamani
Operation ya kuondoa Ombaomba Dar yagonga mwamba, Polisi yajipanga upya
RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa siku 6, ombaomba wasionekane mabarabarani Dar
Watoto wadogo (2-10 years old) ombaomba Dar es salaam: Wizara ya Watoto inafanya nini????
Bandiko hizo zimezungumzia sana hilo tatizo la ombaomba, je, ni kweli hatuna suluhisho la kudumu?
Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, ina mipango gani, au ni ofisi tu kwa jina?