ni kichekesho?
yes! Lakini kuna somo ndani yake.
mmmh i like i like
somo gani?
mume:ni yule dada anayekusaidia kazi za chumbani siku mojamoja.
Mke: ????????
haa hujaliona somo
MUME::haloo mke wangu..nimepata ajali nikielekea kazini.elizabeth amenileta hospital.japo kichwa kimepasuka madokta wamesema nitakua sawa ila wamenipiga x-ray mbavu tatu zimevunjika na huenda wakanikata mguu.
MKE:: ELIZABETH NI NANI?