Omba radhi sasa 'Or Never'

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,148
Reaction score
56,424
Viongozi wengi wakishastaafu au kukaribia kufa wana tabia ya kuomba radhi kwa matendo waliyofanya wakiwa madarakani, wengine huandika vitabu.

Akistaafu hatutaki kusikia kaandika kitabu eti anajutia mauaji aliyofanya na kuwaomba radhi watanzania, afe na dhambi zake akawaombe radhi marehemu akikutana nao kaburini.
 
JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEIZIKA HISTORIA YAKE MWENYEWE
FREEMAN AIKAEL MBOWE AMEIZIKA HISTORIA YAKE MWENYEWE
 

Huyu hawezi kuomba radhi,anajivunia sana matendo anayoyafanya.

Yeye anaona Tanganyika ni koloni lake. Watanganyika ni watumwa wake na familia yake.

Ndio kwanza anajiongezea migodi Tanganyika mingine maeneo makubwa kama nchi yote ya Zanzibar huko kanda ya ziwa, kusini na kwenye mbuga za Tanganyika.
 
Mtu anayeona sifa kwa matendo mabaya aliyofanya ni hatari sana.
 
Mtu anayeona sifa kwa matendo mabaya aliyofanya ni hatari sana.

Utekaji, utesaji, dhuluma inaendelea tena kwa kasi sana. Watu wanachukuliwa kila siku kwa style ya utekaji na polisi, usalama. Wengi wametupwa magereza bila sababu yoyote ya msingi.

Vyombo huru vya habari vyote vimefungiwa Tanzania. Watu wenye mawazo huru wanawindwa ili kuumizwa. Huyu ni shetani kamili hana hata chembe ya aibu.
 
siyo kila mtu ana uwezo wa kuandika kitabu hata kama angependa unahitaji intelligence ya kiwango fulani pia ya kuweza kuandika kitabu na watu kutaka kukisoma, hivyo ukiwaona wengine wako kimya ujue intelligence ya uandishi wa kitabu is wanting ...
 
Ni Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio waliandika vitabu.
JK bado sijamsikia.
Mwendazake alienda zake bila kuandika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…