Leo nimepata balaa mwenzenu.
Kaja ombaomba nyumban kaniomba alfu 2
nikamjibu
sina,kaniomba chakula nikamjibu sina,kaniomba
surual
mbovu nikamjibu sina,mwisho kanambia kama kila kitu sina
tuongozane tukaombe wote. Je,niende?
Kama hutak niende nitumie alfu 2 nimpe aende
huna nambie
nkupitie twende kuomba wote