Hahaaa yaani wewe ndo mshamba maneno yooote we umeona gari tu ,sasa ulitaka niseme nilikuwa kwenye guta wakati nilikuwa kwenye gari ?kuwa au kutokuwa na gari ni non issueSio lazima useme ulipaki gari. Siku hizi wengi ndio wenye magari. Acha ushamba wa ki singida.
Tutake radh watu wa singda kutufananisha na watu wapuuziSio lazima useme ulipaki gari. Siku hizi wengi ndio wenye magari. Acha ushamba wa ki singida.
D. D. D. Kwani watu wa Singida ndo Washamba ??.Sio lazima useme ulipaki gari. Siku hizi wengi ndio wenye magari. Acha ushamba wa ki singida.
Mmhhh !!!, Hapo angekuwa anabipu laana.Ungemgonga na gari lako mungu angekuongezea liwekubwa kama fusso
Kweli Mkuu.umefanyapoa kuusikiliza moyo wako..
Kitu kizuri au kikubwa Mungu anaangalia dhamira ,anajua ya siri na ya dhahiri kama nimefanya nipate ujiko au nimesema nipate ujiko he knws ,kama nimesema tujifunze he knws as well ,na analipa kwa nia.Yaaani huna ulichonisaidia manakee umeamua kuja kunitangaza humu ndani wakusifie ila mbele ya baba yetu we huna uluchopata,next time ukinisaidia ibakie moyoni mwako na sio ulete huku msaada wa wako wa buku beee kila ajue ulinipa
We mshamba tu. Kwani lazima utaje gari ? Kwenye ukoo you are number one to own a used car. Ptyuuuuui mshamba kajogooHahaaa yaani wewe ndo mshamba maneno yooote we umeona gari tu ,sasa ulitaka niseme nilikuwa kwenye guta wakati nilikuwa kwenye gari ?kuwa au kutokuwa na gari ni non issue