Omba omba ktk mataa ya barabara wanahatarisha !!

Omba omba ktk mataa ya barabara wanahatarisha !!

Afro-Arabica

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,107
Reaction score
493
Napendekeza na kutanabaisha wenye mamlaka ya kusimamia jiji wachukuwe hatua haraka!!
Wengi wetu,madereva na wenye kumiliki magari tupo hatarini sana.. haswa tunapokuwa ktk barabara na gari lako unakosa Amani na kuwa katika sintomakini maana tunakabiliana na yafuatayo:~
1. Omba omba na va vototo vyao hukatiza mbele na kuja dirishani..
2. Machinga nao hukubughudhi na kukubabaisha...
3. Trafik na jeshi lao la kushtukizia na kukusimamisha ghafla..hatimae tija ikutoke 10 au Zaidi elfu.
4. Vibaka na wahuni kuwahi dirishani na disibisi zao kukchoma nk nk....
5. Bodaboda nao hutangiza na kuvunja sharia za barabarani bila kujali...

Nawsilishi ili tuweze kurekebisha haya mambo ambayo yapo ktk mikono yetu na uwezo wetu!!
 
Hakuna omba omba Dar, utakuwa umewafananisha na watalii. Hapa walishaondolewagwa na mamlaka ya mkoa
 
Aisaee umeona... Hivi muda huu kuna foleni na vitoto na machinga wanapishana katika vichochoro kati daladala na malori
Mungu apishe mbali Breki zikifeli tu mtu atasagwa au kujeruhiwa!!
 
Na ukimgusa na gari hata kidogo atapiga kelele kama kagongwa na mwendokasi...mm natembea na panga kali kama kisu cha buchani nkiona hali ya hatari nalitoa naliweka kwny dashboard
 
Back
Top Bottom