Omba hii isikutokee

Omba hii isikutokee

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
Kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni Akiwa huko, aliambiwa na Malaika kuwa ametolewa roho kwa bahati mbaya hivyo atarudishwa duniani kama mnyama.
Kijana nae akachagua awe kuku. Mara akajikuta yupo ndani ya kibanda huku akipata hisia asiyoifahamu.
Akamuuliza jogoo pembeni yake, ni hisia gani hii?
Jogoo akamuuliza, ushawahi kutaga wewe?
Akajibu bado.
Jogoo akamwambia, hilo ni yai linataka kutoka hivyo kamua kwa nguvu.
Akakamua mara ya kwanza, likatoka yai.
Akaendelea kukamua tena, likatoka jengine.
Ghafla akasikia mtu anamuamsha, we ---- mbona UNAKUNYA kitandani?!?!
 
Kwik kwik.Mbavu zangu za kulia izo ndo zinavofanya sijui nitabakiwa na zipi sasa!
 
mkuu umetisha aswaa duh we noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom