chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Ishu siyo serikali kuondoa pesa zake kwenye mabenki ya biashara ishu hapa ni Uharaka wa kuziondoa pesa hizo bila kuyapa mabenki muda wa kubadirisha business modal zao.
pili serikali ingeweza kukaa na mabenki na kuongea nayo ili iwepo win win situation, kwa mfano serikali ingeyaambia mabenki kuwa na yenyewe ipate asilimia fulani ya faida pindi benki zikikopesha zile pesa kwenda kwa biashara mbalimbali. Na pia yenyewe ikienda kukopa basi isitozwe riba, bali ipunguziwe faida yake pesa za serikali pindi zikikopeshwa kwa firms nyingine.
Yaani badala ya kutoa mapesa hayo kwenye mabenki ya biashara na kwenda kuyaatamia benki kuu, basi yangekuwa katika mzunguuko na kustimulate uchumi!

yaani pesa yako alafu uanze kukubaliana na Mtu,hakuna kitu kama hicho benk inatakiwa iwe na mtaji wake,kaza baba hiliIshu siyo serikali kuondoa pesa zake kwenye mabenki ya biashara ishu hapa ni Uharaka wa kuziondoa pesa hizo bila kuyapa mabenki muda wa kubadirisha business modal zao.
pili serikali ingeweza kukaa na mabenki na kuongea nayo ili iwepo win win situation, kwa mfano serikali ingeyaambia mabenki kuwa na yenyewe ipate asilimia fulani ya faida pindi benki zikikopesha zile pesa kwenda kwa biashara mbalimbali. Na pia yenyewe ikienda kukopa basi isitozwe riba, bali ipunguziwe faida yake pesa za serikali pindi zikikopeshwa kwa firms nyingine.
Yaani badala ya kutoa mapesa hayo kwenye mabenki ya biashara na kwenda kuyaatamia benki kuu, basi yangekuwa katika mzunguuko na kustimulate uchumi!
Hakukuwa na sababu yenye ujazo kuziondoa fedha za mashirika ya umma kwenye mabenki ya biashara kama kigezo pekee mnachokitaja ni hicho.Safi sana mkuu. Wapiga dili hatuwahitaji awamu hii
Wewe naona concept ya banking huielewi kabisa. Eti "iwe na mtaji wake"? Hivi wewe unafikiri benki inafanyaje kazi? Inachukua deposits za wateja na kuzikopesha kwa wateja wengine...bank inamtoza aliyekopa riba na inamlipa depositor riba pia. Duniani kote ndivyo benki zinavyofanya kazi. Hiyo inasaidia hela ya depositor..iende kwa mhitaji mwingine na yeye aweze kufanya shughuli ya kuzalisha...na ndio uchumi unavyokua. Sasa zote zimerundikwa BoT...zimekaa tu wala hazisaidii kukuza uchumi. Ni mtu asiyeelewa economics tu atakayefurahia jambo la namna hii.yaani pesa yako alafu uanze kukubaliana na Mtu,hakuna kitu kama hicho benk inatakiwa iwe na mtaji wake,kaza baba hili
Madhara ya kula na kunywa siasa mara tatu kwa siku, siku saba kwa juma ndio haya. Kila kitu unaishia kukiangalia kichama...hadi utaifa unakutoka. Sasa mbowe na nhc wanahusika vipi kwenye hii mada kwa mfano?Chadema kama kawaida yao, naona wanahangaika kutetea mafisadi
Mbowe umefilisi Nhc, rudisha pesa
Kwan we unajua vigezo vya kukidhi ili umiliki bankWewe naona concept ya banking huielewi kabisa. Eti "iwe na mtaji wake"? Hivi wewe unafikiri benki inafanyaje kazi? Inachukua deposits za wateja na kuzikopesha kwa wateja wengine...bank inamtoza aliyekopa riba na inamlipa depositor riba pia. Duniani kote ndivyo benki zinavyofanya kazi. Hiyo inasaidia hela ya depositor..iende kwa mhitaji mwingine na yeye aweze kufanya shughuli ya kuzalisha...na ndio uchumi unavyokua. Sasa zote zimerundikwa BoT...zimekaa tu wala hazisaidii kukuza uchumi. Ni mtu asiyeelewa economics tu atakayefurahia jambo la namna hii.
Zimeenda BOT ili kama unaenda kukopa ndo unapewa mashart ya riba..hiyo ni kwa commercial banks...hivi naweza kukupa pesa zangu unitunzie afu tena nimtume mtoto wangu aje kukopa kwako tena kwa riba...c nibora nikae na pesa zangu kama ukihitaj uje nikukopeshe kwa maelewano na mtoto wangu akihitaji nae namkopesha mm mwenyew...mbona hili ni swala dogo sana..Wewe naona concept ya banking huielewi kabisa. Eti "iwe na mtaji wake"? Hivi wewe unafikiri benki inafanyaje kazi? Inachukua deposits za wateja na kuzikopesha kwa wateja wengine...bank inamtoza aliyekopa riba na inamlipa depositor riba pia. Duniani kote ndivyo benki zinavyofanya kazi. Hiyo inasaidia hela ya depositor..iende kwa mhitaji mwingine na yeye aweze kufanya shughuli ya kuzalisha...na ndio uchumi unavyokua. Sasa zote zimerundikwa BoT...zimekaa tu wala hazisaidii kukuza uchumi. Ni mtu asiyeelewa economics tu atakayefurahia jambo la namna hii.
Ebu lete hoja kama mchumi, siasa kando. Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa halafu kuna watu mnashangilia.?Zimeenda BOT ili kama unaenda kukopa ndo unapewa mashart ya riba..hiyo ni kwa commercial banks...hivi naweza kukupa pesa zangu unitunzie afu tena nimtume mtoto wangu aje kukopa kwako tena kwa riba...c nibora nikae na pesa zangu kama ukihitaj uje nikukopeshe kwa maelewano na mtoto wangu akihitaji nae namkopesha mm mwenyew...mbona hili ni swala dogo sana..
Huku kwetu maisha yanasonga...Tatizo watu tunaishi kwa mazoea...hamna kinacho angamia mkuu ishi kulingana na nyakati sio mazoeaEbu lete hoja kama mchumi, siasa kando. Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa halafu kuna watu mnashangilia.?