Omar al Bashir ameshitakiwa kwa mauji ya halaiki huko Dafour na kodfona kusini ambapo waarabu waliwau wakulima weusi maelfu.
Baada ya kushitakiwa ICC serikali ya mpito ya Sudan imekubali kushirikiana na ICC hivyo kuna uwezekano mkubwa akasafirishwa hadi Hague
Cc: BBCswahili