Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,407
- 31,392
Bingwa wa mbio za marathon (2008 Beijing) Simon wanjiru amefariki. Wanjiru ameanguka kutoka kwenye balcony. Uchunguzi kuhusu kifo chake unaendelea.
Wanjiru amewahi kuwa bingwa wa Marathon London na Chicago.
Mungu ampunzishe kwa amani.
Source: BBC
Wanjiru amewahi kuwa bingwa wa Marathon London na Chicago.
Mungu ampunzishe kwa amani.
Source: BBC