Olympic 2012 ....Waafrika mmetisha!

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,792
3,848
7-Cameroon-athletes-defect-at-London-Olympics-460x275.jpg



Hao ndo wenzetu wakameruni waliosepa kwenye kambi ya Olympics, nasikia idadi inazidi.
 
Hivi mpaka leo watu wanazamia ulaya tu?

We mtu Olympian unashindwa kurudi kwenu, kupanga ki CV na hata kusuka mipango kwenda kwenye chuo mbuzi popote duniani kuuza sura?

Aibu.
 
HAwataishi kwa raha hata kidogo maana picha kila kona, halafu hivi mbona Uk maisha magumu sana siku hizi ?!
 
Unajua kuna baadhi ya profession inabidi kuzistaafisha tu. Uzamiaji mojawapo.
 
nakumbuka team ya afghanstan ilienda cheza canada juz juz tu,wakazamia watu wote adi kocha na wengine toka serikalini,pia wachezaj wa eritrea walivyozamia dar,chezeya njaaa
 
Back
Top Bottom