kiukweli nilimpenda sana!!
kula maisha asee... bwana einstein alisema
"everything should be made as simple as possible but not simpler"... vinginevyo utakufa siku si zako.......
na kwenye harusi nenda ukale mpunga huo na bia za kutosha
Daaah!!moyo wangu waniuma
sana!!ni mwanamke ambae nilimuingiza katika ulimwengu wa maraha na
kiukweli nilimpenda sana!!hapa katikati kulitokea mtafaruku baina
yetu..!!hata mwezi mmoja haujapita juzi kalipiwa mahari!!BADO SIAMINI
ILA NDO ISHATOKEA....